πππππHahhhhhh kaka Lazima iangalie labda wamenisahauIkawa jioni jobless ikabidi angalie status ka imebadilika lkn wapπππ
ππππLeo naona hamna kitu tusubiri wiki ijayoNa bado mwanzo wa weekend[emoji3][emoji3][emoji3]
Tuelekeze masikio Qatar tu
πππππHahhhh Yani jobless afu nagombana na mwanasheria hapo sitoboiNa hauna jobless wa kukuwekea dhamana[emoji3][emoji3][emoji3]
Hatari mzee,tutarajie kuanzia j3Ikawa asubuhi ,ikawa mchana na sasa ni jioni ngoma ni bila bila hata kapdf kamojaπ¬π¬π¬π¬
Matumaini katika status ....Mungu atusaidie sana majobless..πππππHahhhhhh kaka Lazima iangalie labda wamenisahau
ππππasa status situlisema hazina ishu wazee??Matumaini katika status ....Mungu atusaidie sana majobless..
Hyo ni sawa lkn tunaziongelea tu ,,,hazina issue kwa majobless ,ππππππasa status situlisema hazina ishu wazee??
ππππau sioHyo ni sawa lkn tunaziongelea tu ,,,hazina issue kwa majobless ,ππ
Noma sana aise maana ingekuwa jobless kaona pdf angetulia ,au angekuwa kasikia jamaa ake aliyepiga nae usahili kapigiwa angekuwa na amani ,kukosa pdf na simu lazima jobless aangalie status kwa nguvu zote aiseπ€£π€£π€£ katika kuishiJobless tutafika tumechoka sanaπππ
πππππHahhhhh unaangalia labda imeniambia nikachukue baruaNoma sana aise maana ingekuwa jobless kaona pdf angetulia ,au angekuwa kasikia jamaa ake aliyepiga nae usahili kapigiwa angekuwa na amani ,kukosa pdf na simu lazima jobless aangalie status kwa nguvu zote aiseπ€£π€£π€£ katika kuishi
Kumbe Kuna siku unaweza ambiwa, Leo ni kiswahili tuu...mpaka wakuambie wenyewe
la sivyo lugha ya malkia ndiyo inatumika mkuu
Hii nchi noma sana aisee...Hii nchi ina siasa nying ndugu, wanahimiza kupiga promo Kiswahili na kuponda lugha ya mataifa(Kingereza) lkn ndio inayotumika huko ili mchujo uwe mkali[emoji1787][emoji1787]
Kwa kifupi ni kwamba hawaruhusu, ni bora uongee Kingereza kibovu watakuelewa kuliko kuomba kuongea lugha yetu adhimu ya Kiswahili[emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee lazima ujiskie mnyonge kaka,ila Mungu mkubwa uneukaribia mlango Bado kunyonga kitasa tu uingieDaahh watu wanauliza hivi aisee..
Kuna jamaa alipost picha ya enzi za chuo watu walikuwa wamekusanyika kwenye kimbweta wakidiscuss kwa ajili ya kwenda kupiga pepa.
Hiyo picha imetukumbusha mbali, watu wakaanza kukomenti.
Wengi katika picha wapo kwenye mirija ya Asali ya uhakika.
Sasa mwingine kauliza hivi, mimi ambaye ni jobless nikajiona mnyonge sana, game limenikalia tenge nipo kwenye relegation zone ya msimamo wa ligi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Tupambane aisee majobless!View attachment 2421297
Usivunjike moyo Kiongozi wakati wako utafikaDaahh watu wanauliza hivi aisee..
Kuna jamaa alipost picha ya enzi za chuo watu walikuwa wamekusanyika kwenye kimbweta wakidiscuss kwa ajili ya kwenda kupiga pepa.
Hiyo picha imetukumbusha mbali, watu wakaanza kukomenti.
Wengi katika picha wapo kwenye mirija ya Asali ya uhakika.
Sasa mwingine kauliza hivi, mimi ambaye ni jobless nikajiona mnyonge sana, game limenikalia tenge nipo kwenye relegation zone ya msimamo wa ligi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Tupambane aisee majobless!View attachment 2421297
ThanksKikawaida unawasalimia kwanza, sa nyingine watanza kukusalimia wao ukiingia tu na kukuambia karibu ukae, wewe unaseama asante hivyo...hakuna formula cha muhimu ni kusoma mazingira chap chap na kufanya maamuzi sahihi
usiwaogope, ni binadamu, cha muhimu jiandae kwa kujua mambo muhimu ya hiyo taaisisi na vitu vya muhimu kwa kada yako
explain about yourself wanaeza kukuelekeza vya kusema kama wasipokuelekeza
1. jitambulishe majina yako
2. kada yako kama ni mchumi, ni mhandisi, nk
3. elimu yako kuanzia primary, secondary, chuo
4. uzoefu wako kama kuna kazi uliwahi fanya na linganisha uzoefu wako na zile job descrpition mfano kama job descrpition mojawapo ni kuandaa ripoti za matumizi bas utasema niliwahi fanya kazi ya field chuo nilikua nasaidia/nandaa ripoti, pia baada ya kumaliza chuo nilifanya internship nilifanya kazi ...unazitaja....zinazoendana na mahitaji ya kazi hii kwa hio naamini uzoefu wangu huu utanifanya kuwa chaguo bora kabisa la hii kazi
kisha unaeza kuongezea hobby zako ambazo zinakupa ubora zaid mfano hobby yako ni kusoma vitabu basi unaeza toa mfano kuwa ulisoma kitabu flani kuhusu kitu flani kikusaidia kuwa bora au unapenda kujiendeleza kwa kusoma majarida yanayohusu kada yako nk
5. KUMBUKA YOTE HAYO NI KWA LUGHA YA KIINGEREZA. (unless otherwise) Kwa hio inabid ufanye mazoezi kama lugha hiyo sio lugh mama!
6. Omba sana, fanya yako mengine muachie Mungu.
kuwa na imani kama ipo ipo tu!
ThanksUnapoenda sehemu ukamkuta mtu wewe ndiye unayeanza kusalimia kwahiyo ukifika pale kabla hujakaa salimia then wenyewe watakukaribisha ukae ndo wataendelea kukukanda kwa maswali ya uvuguvugu na mitetemo ya radi
KaribuThanks
Mungu atie wepesi aisee.Aisee lazima ujiskie mnyonge kaka,ila Mungu mkubwa uneukaribia mlango Bado kunyonga kitasa tu uingie