Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless tutafika tumechoka sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Noma sana aise maana ingekuwa jobless kaona pdf angetulia ,au angekuwa kasikia jamaa ake aliyepiga nae usahili kapigiwa angekuwa na amani ,kukosa pdf na simu lazima jobless aangalie status kwa nguvu zote aise๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ katika kuishi
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hahhhhh unaangalia labda imeniambia nikachukue barua
 
Hii nchi ina siasa nying ndugu, wanahimiza kupiga promo Kiswahili na kuponda lugha ya mataifa(Kingereza) lkn ndio inayotumika huko ili mchujo uwe mkali[emoji1787][emoji1787]

Kwa kifupi ni kwamba hawaruhusu, ni bora uongee Kingereza kibovu watakuelewa kuliko kuomba kuongea lugha yetu adhimu ya Kiswahili[emoji1][emoji1][emoji1]
Hii nchi noma sana aisee...
 
Daahh watu wanauliza hivi aisee..

Kuna jamaa alipost picha ya enzi za chuo watu walikuwa wamekusanyika kwenye kimbweta wakidiscuss kwa ajili ya kwenda kupiga pepa.

Hiyo picha imetukumbusha mbali, watu wakaanza kukomenti.

Wengi katika picha wapo kwenye mirija ya Asali ya uhakika.

Sasa mwingine kauliza hivi, mimi ambaye ni jobless nikajiona mnyonge sana, game limenikalia tenge nipo kwenye relegation zone ya msimamo wa ligi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Tupambane aisee majobless!
IMG_20221119_202200.jpg
 
Daahh watu wanauliza hivi aisee..

Kuna jamaa alipost picha ya enzi za chuo watu walikuwa wamekusanyika kwenye kimbweta wakidiscuss kwa ajili ya kwenda kupiga pepa.

Hiyo picha imetukumbusha mbali, watu wakaanza kukomenti.

Wengi katika picha wapo kwenye mirija ya Asali ya uhakika.

Sasa mwingine kauliza hivi, mimi ambaye ni jobless nikajiona mnyonge sana, game limenikalia tenge nipo kwenye relegation zone ya msimamo wa ligi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Tupambane aisee majobless!View attachment 2421297
Aisee lazima ujiskie mnyonge kaka,ila Mungu mkubwa uneukaribia mlango Bado kunyonga kitasa tu uingie
 
Daahh watu wanauliza hivi aisee..

Kuna jamaa alipost picha ya enzi za chuo watu walikuwa wamekusanyika kwenye kimbweta wakidiscuss kwa ajili ya kwenda kupiga pepa.

Hiyo picha imetukumbusha mbali, watu wakaanza kukomenti.

Wengi katika picha wapo kwenye mirija ya Asali ya uhakika.

Sasa mwingine kauliza hivi, mimi ambaye ni jobless nikajiona mnyonge sana, game limenikalia tenge nipo kwenye relegation zone ya msimamo wa ligi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Tupambane aisee majobless!View attachment 2421297
Usivunjike moyo Kiongozi wakati wako utafika
 
Kikawaida unawasalimia kwanza, sa nyingine watanza kukusalimia wao ukiingia tu na kukuambia karibu ukae, wewe unaseama asante hivyo...hakuna formula cha muhimu ni kusoma mazingira chap chap na kufanya maamuzi sahihi

usiwaogope, ni binadamu, cha muhimu jiandae kwa kujua mambo muhimu ya hiyo taaisisi na vitu vya muhimu kwa kada yako

explain about yourself wanaeza kukuelekeza vya kusema kama wasipokuelekeza

1. jitambulishe majina yako
2. kada yako kama ni mchumi, ni mhandisi, nk
3. elimu yako kuanzia primary, secondary, chuo
4. uzoefu wako kama kuna kazi uliwahi fanya na linganisha uzoefu wako na zile job descrpition mfano kama job descrpition mojawapo ni kuandaa ripoti za matumizi bas utasema niliwahi fanya kazi ya field chuo nilikua nasaidia/nandaa ripoti, pia baada ya kumaliza chuo nilifanya internship nilifanya kazi ...unazitaja....zinazoendana na mahitaji ya kazi hii kwa hio naamini uzoefu wangu huu utanifanya kuwa chaguo bora kabisa la hii kazi

kisha unaeza kuongezea hobby zako ambazo zinakupa ubora zaid mfano hobby yako ni kusoma vitabu basi unaeza toa mfano kuwa ulisoma kitabu flani kuhusu kitu flani kikusaidia kuwa bora au unapenda kujiendeleza kwa kusoma majarida yanayohusu kada yako nk

5. KUMBUKA YOTE HAYO NI KWA LUGHA YA KIINGEREZA. (unless otherwise) Kwa hio inabid ufanye mazoezi kama lugha hiyo sio lugh mama!

6. Omba sana, fanya yako mengine muachie Mungu.
kuwa na imani kama ipo ipo tu!
Thanks
 
Back
Top Bottom