Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh sijui hata wapi kuna hela ngoja waje waseme hapa TAEC ni PGSS 7 na OUT ni PUTS 1.1 ambayo niliambiwa ni kama 1.6mil sasa sielewi lakini OUT nafasi 4 tumeitwa kama 40 na taec nafasi 10 tumeitwa 500 [emoji23][emoji23]
Nenda TAEC, huko OUT unaweza kufanyiwa umafia bure.

Pia mimi naona kwenye mashirika ni angalau unaweza kupata hata muda wa kula bata, huko kwenye kufundisha ni kukimbizana na madesa daily.
 
😂😂😂😂😂Hahhhhh sijui hata wapi kuna hela ngoja waje waseme hapa TAEC ni PGSS 7 na OUT ni PUTS 1.1 ambayo niliambiwa ni kama 1.6mil sasa sielewi lakini OUT nafasi 4 tumeitwa kama 40 na taec nafasi 10 tumeitwa 500 😂😂
Maoni yangu nenda na kusudio la TAEC ila ukifika kule jaribu kuwaambia kama una saili nyingine,kama Kuna mpishano hata kidogo wa time tible wanaweza wakakuzingatia ukafanya na OUT Moja..Kuna mdau aliwah saidika hizi so wakiona inafaa watakusaidia
 
Back
Top Bottom