Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nenda TAEC, huko OUT unaweza kufanyiwa umafia bure.

Pia mimi naona kwenye mashirika ni angalau unaweza kupata hata muda wa kula bata, huko kwenye kufundisha ni kukimbizana na madesa daily.
 
Maoni yangu nenda na kusudio la TAEC ila ukifika kule jaribu kuwaambia kama una saili nyingine,kama Kuna mpishano hata kidogo wa time tible wanaweza wakakuzingatia ukafanya na OUT Moja..Kuna mdau aliwah saidika hizi so wakiona inafaa watakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…