Nimejifunza kitu aseehWakuu piteni hapa
Mda ukifika bas kila kitu kinaenda sawaNimejifunza kitu aseeh
Kweli aseehMda ukifika bas kila kitu kinaenda sawa
Na hamsemi, watu wasiri sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh tatizo orci watatangulia tu sema Taec Kuna michongo hatari aseeh volunteer tu amejenga hahhh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ikawa mchana ,ikawa jioni ya jpl jobless akaenda kuangalia ufunguzi wa kombe la Dunia na kuangalia status yake na kujiandaa na usahili mwingine vzr tu.... maandalizi yaendelee ya received [emoji3][emoji3]
SalamaMKISALIMIWA HABARI ZA KAZI UA MNAITIKIAJE?
Bado bila bila?dah kuna shortlist ya Sua nimeisubiri kitambo,achana na ile ya Hawa ma tutorial assistant
ndioBado bila bila?
mambo ya maabara mkuuPost gani mkuu..?
Vuta subira mkuundio
π€£π€£π€£π€£Ikawa mchana ,ikawa jioni ya jpl jobless akaenda kuangalia ufunguzi wa kombe la Dunia na kuangalia status yake na kujiandaa na usahili mwingine vzr tu.... maandalizi yaendelee ya received ππ
Wakati wa Mungu ππππWakuu piteni hapa
Dah watoe tu tujue 1Harufu ya placement
Mpaka mech ya Qatar na Ecuador iisheHarufu ya placement
Hongera sana mkuu, kapambane.Tulioitwa Ruwasa Mechanical engineering tujuane
Tuko busy huku Qatar mkuu, ebu tupumzishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Harufu ya placement
Uzi unautendea haki mzee wakupe ajira sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]Tuko busy huku Qatar mkuu, ebu tupumzishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππHarufu ya placement