Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi huwa hawatabiriki, mi nilihudhuria interview moja wale baadhi tuliokuwa tumehudhuria pamoja baadhi wameshaitwa kwa kupigiwa simu wafate barua na wanapiga kazi mpaka sasa na orodha ya kuitwa kazini haijatoka officially mpaka sasa, siku ikija kutoka unajikuta tu haupo na walioitwa ni wale waliotaarifiwa, jaribu kucheki na uliofanya nao.
 
Mambo ya kuvitiana waya haya dah noma sana unasbiria basi kituoni wakti wenzako washafika kitambo 🀣🀣
 
Sema hili Jambo la kuwa na namba za wenzako kwenye usaili ni muhimu sana kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…