Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi huwa hawatabiriki, mi nilihudhuria interview moja wale baadhi tuliokuwa tumehudhuria pamoja baadhi wameshaitwa kwa kupigiwa simu wafate barua na wanapiga kazi mpaka sasa na orodha ya kuitwa kazini haijatoka officially mpaka sasa, siku ikija kutoka unajikuta tu haupo na walioitwa ni wale waliotaarifiwa, jaribu kucheki na uliofanya nao.
Inasikitisha sana, michakato upo wazi kuanzia kuitwa, written, oral Ila ikifika placement usiri mtupu!
 
Aisee ndio maana jobless akiona pdf hata kama hayumo si anajua mwingine kapata yy kamanda anajipanga na received zingine,lkn kutokuona anabaki akijipa matumaini huenda matokeo bado kumbe ngoma tayari ,,psrp ingekuwa panctual na kutoa pdf kusingekuwa na malalamiko kabisa
MCHAKATO WA AJIRA UPO WAZI KUANZIA KUITWA, WRITTEN, ORAL THEN IKIFIKA PLACEMENT GIZA TUPU
 
Aisee ndio maana jobless akiona pdf hata kama hayumo si anajua mwingine kapata yy kamanda anajipanga na received zingine,lkn kutokuona anabaki akijipa matumaini huenda matokeo bado kumbe ngoma tayari ,,psrp ingekuwa panctual na kutoa pdf kusingekuwa na malalamiko kabisa
Humu mtashangaa siku zinaenda halafu kimya, mwenye hii post 'kwanini wanatumia mda mrefu kuita watu kazini' ana logic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka umeshituka kweli kweli hahhh

Yani Mkuu, acha kabisa. Nitapunguza hata userious endapo mivutano ya hoja ikitokea.

Unaweza ukabishana kitu na dogo ambaye kama mngeonana uso kwa uso angekuogopa na asingeongea kitu zaidi ya kutingisha kichwa kukubali.

Lakini kwenye hizi ID fake, unaweza kuta kuna wazazi wetu hawatafuti kazi ila wapo kwenye huu uzi kutoa kampani.

Inawezekana watu wanaofungua nyuzi za hovyo kila kukicha na kukomenti majibu ya aibu kwenye nyuzi tofauti tofauti, kumbe ni Baba au Mama zetu aisee.
 
Kuna watoto wengi ndio maana hata baadhi ya mijadala unaona kabisa unadeal na immature people.
 
Back
Top Bottom