[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujobless kazi Sana
Hadi mkopo wa 5000 unakukosesha Raha unahama kabisa mtandao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subaru Forester ndo kali mzee kudadeki upo ndani ya Subaru afu manzi yupo pembeni tunaitaga kimwazi kipo pembeni daaah duniani raha jamani
Kweli bado hajapata, juzi kati kapigwa kibuti pale MUHAS, nafasi ikarudishwa hewani(re-advertise)Unaweza kuta aliyeanzisha bado hajapata mchongo
Hivi inakuaje mpaka nafasi inakua re advertised,kwamba watu hawakuapply amaKweli bado hajapata, juzi kati kapigwa kibuti pale MUHAS, nafasi ikarudishwa hewani(re-advertise)
Msipofaulu Oral(wasipopata mtu sahihi) wanarudia kuitangazaHivi inakuaje mpaka nafasi inakua re advertised,kwamba watu hawakuapply ama
Khaaa,yani watu jobless tupo kibao hivi wanakosakosaje duhMsipofaulu Oral(wasipopata mtu sahihi) wanarudia kuitangaza
Mkopo umiza riba mwisho asilimia 30 ua haizidi, riba nyingi no 12% mpaka 15%Sema ukweli unaoujua mkuu? ila amini nachokuambia nimefanya research za kimchongo nyingi sana🤣 kuhusu mshahara,makato sijui ya bima,Paye,psssf,Cwt na hayo ya kuhusu mkopo mkuu ila uhakika Zaid riba inazidi nusu ya Hela uliyokopa ukubali au ukatae
Sasa mkuu tukikokotoa hapo MTU akikopa 10m riba ya 15 % Kwa mwaka anatakiwa alipe 1.5m Kwa miaka Saba akatua kalipa 10m na laki tano aiseee yani benki wakupe million 10 ndani ya miaka Saba wapate faida ya laki tano tu sawa mkuu 🤣🤣🤣🤣Mkopo umiza riba mwisho asilimia 30 ua haizidi, riba nyingi no 12% mpaka 15%
Million na nusu kwa mwaka hata 150000 kwa mwezi haifiki!!! Huwezi kukataa hela kwa hesabu hiziSasa mkuu tukikokotoa hapo MTU akikopa 10m riba ya 15 % Kwa mwaka anatakiwa alipe 1.5m Kwa miaka Saba akatua kalipa 10m na laki tano aiseee yani benki wakupe million 10 ndani ya miaka Saba wapate faida ya laki tano tu sawa mkuu 🤣🤣🤣🤣
Hamna hicho kitu..unaweza kopa 20m mpaka miaka 7 unajikuta umelipa 35Sasa mkuu tukikokotoa hapo MTU akikopa 10m riba ya 15 % Kwa mwaka anatakiwa alipe 1.5m Kwa miaka Saba akatua kalipa 10m na laki tano aiseee yani benki wakupe million 10 ndani ya miaka Saba wapate faida ya laki tano tu sawa mkuu 🤣🤣🤣🤣
Wewe ndo umeisema hiyo riba so Fanya kukokotoa then weka hapa mchanganua wa hizo riba tuone inakuajeMillion na nusu kwa mwaka hata 150000 kwa mwezi haifiki!!! Huwezi kukataa hela kwa hesabu hizi
SIBISHANI NA MUAJIRIWA!!!!!!!!Wewe ndo umeisema hiyo riba so Fanya kukokotoa then weka hapa mchanganua wa hizo riba tuone inakuaje
Hiii sawa Sasa mkuu hapo juu anasema riba ya asalimia 15 ndo nawaza wanakokotoa vip hii ribaHamna hicho kitu..unaweza kopa 20m mpaka miaka 7 unajikuta umelipa 35
Unajua wanavyokupa ile % unavutiwa lakini wengi wanakopa wakidhani analipa Ile asilimia lakini hesabu haziwi vile ukipiga total kabisa mwishoni unajua umelipa Hela nyingi sana,ni vile tu wengi hawafeel maumivu kwakua Hela inakatwa juu kwa juuHiii sawa Sasa mkuu hapo juu anasema riba ya asalimia 15 ndo nawaza wanakokotoa vip hii riba
😂😂😂😂Wanaona huyu anaweza kutupa laini tukimudaiHahahahaa, huo ni ukweli aisee.
Mimi nilikuwa nadaiwa Songesha, nilipoona maji yamezidi unga, nikaswitch to Halotel, nikaacha kuitumia Voda kuanzia kuweka vocha hadi M-pesa ikabaki tu online(kwenye simu), hapo ilikuwa mwaka 2020, wakawa wananidai kila mara, ilipofika mwaka 2021 wakaanza kuniambia wamenisamehe ila huo mtego sikunaswa.
Mwaka huu niliweka(nilitumiwa) hela M-pesa, nikajisemea hapa Songesha wanakula chao, bahati nzuri nikakuta kweli washanisamehe
Hatubishani mkuu mie nataka nijue tu wanavyokokotoa hizo riba ulizosema wewe ili nijue kama nakopa au sikopi siwezi kukopa 20m nije kulipa 35+m mie ndani ya miaka 7 yaani 15+m ziende Bure🤣🤣🤣SIBISHANI NA MUAJIRIWA!!!!!!!!
Mkopo kama huna tegemezi achana nao tu na kama unataka ufanye biashara basi uwe na mke ndo asimamie biashara tofauti na hapo tulia save tu Baada ya miaka 5 unakuaa na kituUnajua wanavyokupa ile % unavutiwa lakini wengi wanakopa wakidhani analipa Ile asilimia lakini hesabu haziwi vile ukipiga total kabisa mwishoni unajua umelipa Hela nyingi sana,ni vile tu wengi hawafeel maumivu kwakua Hela inakatwa juu kwa juu
😂😂😂😂Sasa tutanunuaje Subaru mzeeHatubishani mkuu mie nataka nijue tu wanavyokokotoa hizo riba ulizosema wewe ili nijue kama nakopa au sikopi siwezi kukopa 20m nije kulipa 35+m mie ndani ya miaka 7 yaani 15+m ziende Bure🤣🤣🤣
3yr ya kusave mzeee ndo Subaru ije mkuu ukikopa hapo wawe wanakukata 370k kila mwezi +100k ya bodi ya mkopo kama una mkopo kwenye 1m Yako Ile utabaki na 600k unaweza iona kubwa toa 100k ya Kodi mzee toa ya msosi Tena then Sasa uje kwenye Hela ya mafuta ya gari 20k kila day Hilo gari huwezi liendesha kila siku mkuu ndo maana watu wengi wanayaendesha siku wanaenda kula Bata🤣 unaowaona wanadrive kila siku ndo wale wenye mishahara ya 3m kawaida sana huyu hata kubaki na 2m kila mwezi then 600k ya mafuta mwezi mzima anatoa tu ukitaka uende naye sawa uwe huna mkopo benki 🤣🤣🤣😂😂😂😂Sasa tutanunuaje Subaru mzee
😂😂😂😂😂daaah sio poa aseeeh3yr ya kusave mzeee ndo Subaru ije mkuu ukikopa hapo wawe wanakukata 370k kila mwezi +100k ya bodi ya mkopo kama una mkopo kwenye 1m Yako Ile utabaki na 600k unaweza iona kubwa toa 100k ya Kodi mzee toa ya msosi Tena then Sasa uje kwenye Hela ya mafuta ya gari 20k kila day Hilo gari huwezi liendesha kila siku mkuu ndo maana watu wengi wanayaendesha siku wanaenda kula Bata🤣 unaowaona wanadrive kila siku ndo wale wenye mishahara ya 3m kawaida sana huyu hata kubaki na 2m kila mwezi then 600k ya mafuta mwezi mzima anatoa tu ukitaka uende naye sawa uwe huna mkopo benki 🤣🤣🤣