Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Haziendi bure! Utajenga kwa mshahara?!Hatubishani mkuu mie nataka nijue tu wanavyokokotoa hizo riba ulizosema wewe ili nijue kama nakopa au sikopi siwezi kukopa 20m nije kulipa 35+m mie ndani ya miaka 7 yaani 15+m ziende Bure🤣🤣🤣