Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Wazee admission officer II maswali yake yapoje written.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa serious basi😂😂😂😂Kwahiyo lazima upigiwe?UKIONA PLACEMENT WAKATI UJAPIGIWA SIMU UJUE HAIKUHUSU
Ukipata placement utaleta feedback??maana mnakaaga kimya humuWazee admission officer II maswali yake yapoje written.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Hahahaha mzee utaua watu kwa pressureUKIONA PLACEMENT WAKATI UJAPIGIWA SIMU UJUE HAIKUHUSU
Ss hyo placement MAANA yake kweny pdf haupo yupo mwingine,,ndio unamaanisha ??? Au Upo kweny pdf halaf haujapigiwa haikuhusu ... statement yako iko very confusion 😂😂UKIONA PLACEMENT WAKATI UJAPIGIWA SIMU UJUE HAIKUHUSU
Hahahaa, line siitupi aisee. Ni line yangu namba moja, nasubiri pia kuvutiwa waya kupitia hii line na wakandaji nichakue barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaona huyu anaweza kutupa laini tukimudai
Kusoma muhimu sana😅😅yaan tena sanaSs target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...😂😂😂
Ndio, unaruhusiwa kuomba tena mkuuHivi wakitangaza unaweza kurudia tena kuomba kama ulikandwa?
Mara wanakukanda tena.Ndio, unaruhusiwa kuomba tena mkuu
Wanasemaga kwenye mafanikio ya mwanaume, kuna mwanamke nyuma yake.Mwifwa ameoa muulize kama hamuamini mkewe mkuu then mpe pole
Washahack flash ya mpandisha pdf na wameona majina yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijana wa hovyo mnajadili mishahara wakati placement hazijatoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Statement yako ya kwanza iko sahihiSs hyo placement MAANA yake kweny pdf haupo yupo mwingine,,ndio unamaanisha ??? Au Upo kweny pdf halaf haujapigiwa haikuhusu ... statement yako iko very confusion 😂😂
mi nahisi hizi ni ajira hewaTwende mbele na kurudi nyuma placement ni fupa moja gumu sana kwa Utumishi
Usije ukapata stroke kabla hujavutiwa waya wa kwenda kuanza kazi. Kuwa makini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa Argentina wanaibia sana offside nyingi kuliko magoli mie nimeweka mkeka mabao mawili first half wanachana hawa siwabetiiii Tena
Bora tu watoe majina halafu waseme barua ya ajira uje uchukue mwezi fulani kuliko kukaa kimya maana matokeo wanayo. Inasaidia mtu aweze kumove on na mishe nyingine kuliko kukausha tu.M
mi nahisi hizi ni ajira hewa
TUSIKATE TAMAA MAJINA YATATOKA NA TUTAPATA NAFASIBora tu watoe majina halafu waseme barua ya ajira uje uchukue mwezi fulani kuliko kukaa kimya maana matokeo wanayo. Inasaidia mtu aweze kumove on na mishe nyingine kuliko kukausha tu.
Kitu kipo re-advertised, ngoma inasoma not selected af unataka placement na simu hujapigiwa 🤣🤣UKIONA PLACEMENT WAKATI UJAPIGIWA SIMU UJUE HAIKUHUSU