Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ss target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...😂😂😂
Kusoma muhimu sana😅😅yaan tena sana
 
Back
Top Bottom