Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kweli mkuu nimetoa mawazo MTU kama anataka afanye biashara ikiwa job basi ampe mkewe asimamie jobless akaniambia pole ila mie ndo naona option yenye risk ndogo kuliko kumpa ndugu asimamie biashara zako
Biashara kama Nampa ndugu ni mdgo wangu tu au mzazi wangu pekee wengine hapana na sijawahi kuwaza
Na kama mke angalia kichwa cha mke kwanza ni kichwa cha biashara au ndo ile anaringia tako😬😬
 
Basi sawa leta job description tuone afu nikipata muda ntakupa pakuanzia mzee
Weka possible mkuu japo nyomi la watu sio mchezo.
Screenshot_20221122-171338.jpg
Screenshot_20221122-171355.jpg

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Kweny insta nmeona kuna jamaa kawaulizaa psrp et placement za MNMA, ADEM, IFM IAE, lini?? Psrp Wanamjibu SOON ,,jamaa mwingine anamuuliza yule ni muda gaani ,hawajatoa pengne wengne washapigiwa simu ,,PSRP Wanamjibu et angaliaga website yetu?? 😂😂 Sio poa aisee
 
😂😂😂😂Nikajua angaliaga status hahhh
 
Up
Biashara kama Nampa ndugu ni mdgo wangu tu au mzazi wangu pekee wengine hapana na sijawahi kuwaza
Na kama mke angalia kichwa cha mke kwanza ni kichwa cha biashara au ndo ile anaringia tako😬😬
Upo sahihi mie lazima nimpe dogo biashara sio mtoto wa Mjomba sijui upande wa bibi mala mzaa Shangazi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom