Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na vipi kama ni mtoto wako ?
Angalia kichwa yake kaka ni mfanyaji biashara?anaaminika?na inashauriwa kumlipa mshahara hata kama ni wewe weka utaratibu wa kujilipa mshara ili Principe ya separate legal entity itimie,hakikisha una uwezo wa kumuwajibisha akiharibu ilibidi weka mkataba wa kumbana..mfatilie kama ambavyo boss anamfatilia kijakazi Kila hatua iwe na maelezo..kama kweli anafaa ataendelea kubaki hapo ila kama so mfanya biashara atakwambia baba mi nipe ishu nyingine,.ni vyema pia watoto wetu kuwafundisha vitu tunavyofanya mapema tangu wakiwa watoto..anakua akiijua biashara vizuri in and out..na hvi ndiyo walivyofanikiwa wakina bakhresa,GSM watoto wao wameziishi zile biashara
 
Y

Yes nilipata bahati kuwa na mzee wakunifundisha biashara kuanzia nikiwa mdgo aseeh
 
Back
Top Bottom