Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Jumanne ya hovyo🤣Jumanne ya Leo haijakaa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumanne ya hovyo🤣Jumanne ya Leo haijakaa sawa
Ya mchongoJumanne ya hovyo🤣
😂😂😂😂Hahhhhh mzee mimi huwa nafatilia status tu zinavyovuruga watu lakini hiyo post inachukuaga watu wachacheuko updated sana unaweza pia kutoa update[emoji2]
😂😂Kumbe yupo humu kauliza psrp Wanamjibu SOON..ss hyo soon mpka shortlisted status itabadilika nakuwa ingne lkn no placementAhmet huyo tunae humu🤣
Bro unajitahidi kuuliza kupata update,,lkn ww unavyofikiri jibu lao ni la SOON ni sahihi,au ndo kupozana tu ...... Uje uwaulize na status ya shortlisted Ina Maana gaani tuone watatoa majibu??Kaka, tunaendelea kupambana😂😂
Ikitoka shortlisted itakuja not selected 😂😂😂😂😂😂Kumbe yupo humu kauliza psrp Wanamjibu SOON..ss hyo soon mpka shortlisted status itabadilika nakuwa ingne lkn no placement
Ndipo hapo jobless atakapopagawa ,😂😂 hataanza kujifanyia oral peke ake😂Ikitoka shortlisted itakuja not selected 😂😂😂😂
Ikishakuwa not selected unaanza kuona majibu Yale uliyotoa kama ya uongo hiviNdipo hapo jobless atakapopagawa ,😂😂 hataanza kujifanyia oral peke ake😂
Cha muhimu ni kuamini kuna mtu alifanya vzr zaid yake...pengine inazakuwa Upo kweny database, nakuomba Mungu fursa zitokee upateIkishakuwa not selected unaanza kuona majibu Yale uliyotoa kama ya uongo hivi
Wataniona mkorofiBro unajitahidi kuuliza kupata update,,lkn ww unavyofikiri jibu lao ni la SOON ni sahihi,au ndo kupozana tu ...... Uje uwaulize na status ya shortlisted Ina Maana gaani tuone watatoa majibu??
Yaani unaona muda inaenda tu, hakuna kinachoendeleaAhmet katika kuuliza
Yaani unaona muda inaenda tu, hakuna kinachoendelea
Kabisa mkuuShida yao hawa pia kuna kitu kinaitwa Siri ya ofisi uenda UNAULIZA lkn wasikujibu moja kwa moja mie navvyoisi ,
Mkuu nishaacha kubeti 2018 mkuu nilikua nafrahisha Uzi tu mkuuu[emoji1787]
NaamWatuuu