Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Inauma unafika oral na hutuboi dah maana kufika orala nyingne ni jambo gumu
Ndio maana oral inatokea na jinsi siku hyo wakandaji wamekupiga maswali mule mule ,ulipijiandaa kuna uhakika nawe ukajibu angalau mule mule.... Ndio maana humu tunajaribu kubadilishana uzoefu wa maswali ya oral ili ikitokea upo oral bahati ukuangukie ....MARUFUKU KUKATA TAMAA HAKUNA AIJUAYE KESHO wanangu
 
Ndio hivyo mkuu, ukipata chance ya kwenda oral pigania angalau ubaki kanzidata
 
Kabisa yaani ukibahatika kwenda oral omba Mungu maswali yawe mule mule ...maana sahvi maswali manne kila swali linahitaji point 5 hivyo jitahidi Kweny maswali 3 majibu yawe ya point 5 angalau mule mule pia jitahidi hata moja point 3mpka 4 ka kufikisha tano hutaweza kukumbuka,,... maandalizi ni muhimu isitegemee kutoboa Ka haujajibu vzr ,,au maswali manne yana taka point 5 kila swali ww unajibu point mbili mbili,,, mwingine akiingia kajiandaa vzr anatililika vizr point 5au 4 bila kusitasita,,inaonesha anajua.....tujitahidi kufanya maandalizi kwa kweli ka vile tunavyofanya kupita kwenye written kwenda oral... Yaani siku ikitokea wakandaji wanakupiga maswali ulioexpect kukutana nayo na ukajibu point zako 5 fresh au hata swali moja ukajibu point 4 matumaini ya kutoboa ni makubwa sana au ya kuingia kwenye kanzidata...bravo wanangu wote tunaotafuta mrija wa asali
Ndio hivyo mkuu, ukipata chance ya kwenda oral pigania angalau ubaki kanzidata
 
Toka nipate placement nikaacha kabisa kupiga vibarua(saidia fundi)🀣🀣🀣 + kuzunguka site kufunga camera na network (Kwa mhindi) mwanzo nilikua nimekomaa sana mikono miezi 2+ Sasa siendi Mishe akiba yangu inaenda na maji Sasa nimekua soft, mzembe sana kitambi kama chote now nikibeba maji ndoo mbili Nahema sana mhindi amenipigia sana simu namwambia nipo mkononi narudia tarehe 30 jamaaa zangu mafundi nao michongo inapumua Kwa shida sikukuuu watu wamestop kujenga 🀣 Sasa Kwa kua Hela inaenda kuisha tarehe 1 nitamtafta huyu kanjibai nimwambie nipo town now niende kuhangaika na cable huko😒😒 kesho naanza kukimbia na kufanya mazoezi nimekuwa mdebwedo sana haya mambo ya tutakupigia simu yakijinga sana😒
 
Wapambanaje wenzangu naomba mnipe direction hii kumbi inaitwa 'Udom- CBSL THEATRE 2" niko na jambo langu hapo kesho.
Mbarikiwe sana wapambanaji
Wewe ukifika udom utaulizia hiyo college of business studies and law
Wapambanaje wenzangu naomba mnipe direction hii kumbi inaitwa 'Udom- CBSL THEATRE 2" niko na jambo langu hapo kesho.
Mbarikiwe sana wapambanaji
Kila la kherim
Wakuu any ideas ya maswali ya written admission officer,msaada kwenye tuta
Saada
Hayo kwa muda tu, wenzio umetuacha kubaya sana
 
Jipange Kabla Ya J3 Ya Kwanza Ya December Utapewa maelekezo Lini Unazee kibarua cha utumishi.Inshort mwezi wa 12 Mnanzaa kazi Wenye Barua mkononi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhakika mwaka huu mpaka wanieleze walikoweka ajira ni wapi
Unataka kuwakanda utumishi kwa dk 40 Halaf ukawakande kwa kofindensi kweny uso kwa uso [emoji23][emoji23] watakubali mwaka huu Ambapo tunaelekea mwishoni mwishoni ndio tunafunga HESABU za ujobless [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…