Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Toka nipate placement nikaacha kabisa kupiga vibarua(saidia fundi)[emoji1787][emoji1787][emoji1787] + kuzunguka site kufunga camera na network (Kwa mhindi) mwanzo nilikua nimekomaa sana mikono miezi 2+ Sasa siendi Mishe akiba yangu inaenda na maji Sasa nimekua soft, mzembe sana kitambi kama chote now nikibeba maji ndoo mbili Nahema sana mhindi amenipigia sana simu namwambia nipo mkononi narudia tarehe 30 jamaaa zangu mafundi nao michongo inapumua Kwa shida sikukuuu watu wamestop kujenga [emoji1787] Sasa Kwa kua Hela inaenda kuisha tarehe 1 nitamtafta huyu kanjibai nimwambie nipo town now niende kuhangaika na cable huko[emoji22][emoji22] kesho naanza kukimbia na kufanya mazoezi nimekuwa mdebwedo sana haya mambo ya tutakupigia simu yakijinga sana[emoji22]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe kuna majobless wana vitambi na hamsemi..
 
Toka nipate placement nikaacha kabisa kupiga vibarua(saidia fundi)🤣🤣🤣 + kuzunguka site kufunga camera na network (Kwa mhindi) mwanzo nilikua nimekomaa sana mikono miezi 2+ Sasa siendi Mishe akiba yangu inaenda na maji Sasa nimekua soft, mzembe sana kitambi kama chote now nikibeba maji ndoo mbili Nahema sana mhindi amenipigia sana simu namwambia nipo mkononi narudia tarehe 30 jamaaa zangu mafundi nao michongo inapumua Kwa shida sikukuuu watu wamestop kujenga 🤣 Sasa Kwa kua Hela inaenda kuisha tarehe 1 nitamtafta huyu kanjibai nimwambie nipo town now niende kuhangaika na cable huko😢😢 kesho naanza kukimbia na kufanya mazoezi nimekuwa mdebwedo sana haya mambo ya tutakupigia simu yakijinga sana😢
Kuna rafik angu alikaaga km week tatu iv anasubir wampigie...basi akiona simu inaita tu anawahi kupokea afu kumbe sio wenyew😅😅😅 alkua anakereka
 
Watakuwekaje kwenye placement through kanzidata bila kukupigia simu na muda mrefu unakua umepita? Utajuaje Kama umo?
Kuna brother wangu alikaa kwenye kanzidata then akapata kazi baada ya muda hivi. Ukapita muda na ikaja placement, na akaona kapata sehemu nyengine. Hii inaonyesha sio lazima wakupigie simu maana kama wangempigia kumuuliza basi wasingemuweka ile sehemu ya pili.
 
Hapa ilianza kanzidata kabla ya placement?
 
Sorry, aliwezaje kua kwenye pdf la kanzi data bila kupigiwa simu? Au alipigiwa akaamua akukatae Kama walamba asali wengi wanavyofanya
Sasa pdf ya placement imetoka ,,ni jukumu letu Kila siku kuangalia placement zilizo za kuita kazini taasisi mbalimbali Zinajumuisha na waliokanzi data, au mfano majuzi kuna pdf imetoka ni placement ya watu waliokuwa kanzidata pekee ka 54 hv ,,,unaweza jikuta usitegemee kupigiwa simu kk...japo ikitokea umepigiwa utaenda zote ni njia
 
Kuna brother wangu alikaa kwenye kanzidata then akapata kazi baada ya muda hivi. Ukapita muda na ikaja placement, na akaona kapata sehemu nyengine. Hii inaonyesha sio lazima wakupigie simu maana kama wangempigia kumuuliza basi wasingemuweka ile sehemu ya pili.
Kweli CHA MUHIMU NI KUWA TUNAANGALIA PLACEMENT ZOTE ZINAZOTOLEWA HASA HASA HIZI ZINOITA WATU KAZINI ZA TAASISI MBALIMBALI ZINAKUWA ZINAJUMUISHA NA KANZIDATA,,UKIACHA KUANGALIA PLACEMENT UTAJIKUTAGA ULIPATA NAFASI KUMBE UKUANGALIAGA MUDA UKAPITA ,IKATUMWA KWENY SANDUKU LA POSTA YAKO ,LABDA AKUPATA BASI ,,,,ANAWEZA PATA MWINGINE LABDA ...TUWE TUNAANGALIA PLACEMENT DAILY U NEVER KNOW
 
Back
Top Bottom