Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Watakuwekaje kwenye placement through kanzidata bila kukupigia simu na muda mrefu unakua umepita? Utajuaje Kama umo?
hapa ni changamoto kweli kweli
maana ukisema uangalie pdf kila siku website ya psrs duh kwa mwaka mzima ni kazi sana

maana kwa sasa hivi tu inabidi uangalie website kutwa mara tatu kama dozi
asubuhi baada ya kuamka
mchana wakati wa kula
na usiku kabla hujalalala

ukisema usubirie za kanzidata unaeza kuwehuka

njia nzuri ingekua wanatuma Email angalau au kupiga simu
 
Back
Top Bottom