Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Kaka kada gani hizo pepa?Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kada gani hizo pepa?Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Vip matokeo tayari au oral inafanyika darNdani ya Bm muda huu narudi dar, Mkando ndoige!
Vip matokeo tayari au oral inafanyika dar
So ulifanyaje?Kasema mkando ndoige!. Mimi pepa ya mwisho nilijua nimepoteana vibaya nikarud dar, matokeo kutoka nimo oral sikuamin....inawezekana wengi wakafeli mkakokotwa!
Sawa, kama oral ni tar 28 watatoa kesho, na pia watakuwa walikuwa wachache sana. Kama si hivyo umakini utakuwa kidogo sana ktk ku mark.Matokeo watatoa lini kama sio kesho Sasa maana Kuna watu oral tarehe 28
Nilirud kupiga pepa maana matokeo walitoa usiku siku mbili kablaSo ulifanyaje?
Kweli mkuu,, hzi written hazitabiriki kabisa.. kwanza mtu unafanya pepa under pressure of time..Psrs waendelee kuita oral moja kwa moja kama walivyofanya MDAs & LGAs naona imekaa poa sana.
Written ni meaningless, ni ya kuchuja tuKweli mkuu,, hzi written hazitabiriki kabisa.. kwanza mtu unafanya pepa under pressure of time..
Ndio hakuna Cha saaa mkuu Kuna watu Wana google Kwa saaa🤣🤣🤣Kumbe Wakandaji hawaruhusu mtu kuvaa saa ndani ya chumba Cha mtihani.. nimeona Leo watu wanavulishwa, hawataki longolongo kabisa😁😁
Maswali ya admission officer OUT 26/11/2022
Kutoka kwa mdau aliyekuwa kwenye chumba Cha mtihani
3. Condition for admission to be successful
1. One among the stages of doing the admission is to fill out the form, explain the next stapes follow after that
2. As an admission officer what can you advise the student who wants to make transfer for university
4. Hapo limenitoka kidogo
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Maswali yanaeleweka japo sijajua mlienda watu wa fani ganiMaswali ya admission officer OUT 26/11/2022
Kutoka kwa mdau aliyekuwa kwenye chumba Cha mtihani
3. Condition for admission to be successful
1. One among the stages of doing the admission is to fill out the form, explain the next stapes follow after that
2. As an admission officer what can you advise the student who wants to make transfer for university
4. Hapo limenitoka kidogo
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Matokeo bado ila tokeo nalijua, kesho kibaruani kwa mhindiVip matokeo tayari au oral inafanyika dar
Fresh kiongozi tupo pamojaALAFU wizy MIMI SIPO MUUB AISEE UMESABABISHA NIMEBADILI ID MARA 2.
TOKA NIMEINGIA JF. KWA SABABU YA UTAFITI WAKO ETI YULE JAMAA WA
TUISHI KWA KUPEANA ELIMU NA SAME DETAILS.
TUKIANZA KUWA TAGGED YULE JAMAA WA N NOMA.
MSELA ASILI YAKE NOMA ILA KWENYE NOMA MSELA HAKAI...!!
Hawanaga kazi ndogo, Subaru TUTAPATA lakini tutakua hoi!😂😂😂😂😂acha nicheke kwanza aseeh utumishi ni wachawi mamaeeee
Acha niishie hapa
😂😂😂😂Asaivi naona hata kirikuu inatosha Kaka subaru tutanunua tukistaafuHawanaga kazi ndogo, Subaru TUTAPATA lakini tutakua hoi!
Kuna hiyo Pepa kama walitaka kutuuaWachawi kivipi boss..?