Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wajeMlioenda kwenye mkando mnatutisha mbona kimya sana?!
hapa ni changamoto kweli kweliWatakuwekaje kwenye placement through kanzidata bila kukupigia simu na muda mrefu unakua umepita? Utajuaje Kama umo?
Naona wamemuweka kwenye home page ili watutishe tusiwaseme, tutaendelea kuwasema hadi waache kuchelewesha placementsMwamba huyu hapa na hatoi placementsView attachment 2427882
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kama wapo humu sasaNaona wamemuweka kwenye home page ili watutishe tusiwaseme, tutaendelea kuwasema hadi waache kuchelewesha placements
Mkandaji mkuu huyuMwamba huyu hapa na hatoi placementsView attachment 2427882
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.Wazeee Pepa vip huko mbona kimya
Pole Kwa Pepa mkuu. Kufeli mpaka matokeo yasemehe hivyo mkuu tuombe mungu awe upande wakoPaper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Wameruhusu kufanya pepa mbili au zilikuwa muda tofauti?Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Hongera mkuu,Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Matokeo watatoa lini kama sio kesho Sasa maana Kuna watu oral tarehe 28Hongera mkuu,
Hilo la kutoa matokeo kesho utakuwa hukuwasikia vizuri, labda kama mlikuwa wachache sana.
Pili, usikate tamaa mapema hivyo, unaweza kuwa umeokota maksi za kukuwezesha kuvuka hiyo hatua.
tupe muongozo mkuu kwa ujumla pepa iikuaje na maswali yakePaper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Mkuu vp,,, tulikuwa wote pale Theatre 1&3 Leo..?Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
We jamaaa hutaki kuleta mrejesho kabisa tunatoboa?Mkuu vp,,, tulikuwa wote pale Theatre 1&3 Leo..?
Pepa kwangu imekuwa ya Ovyoh tu mkuu. Hapa najiliwaza na game ya Yanga Huku CBSL. Kuna jirani yangu ye ndo kaanza kulalamika mlemle ndani kabla hatujatoka ety maswali mawili hajafanya.. sijui akinizuga Mimi tu dadeq 🤓🤓We jamaaa hutaki kuleta mrejesho kabisa tunatoboa?
Pole tumsubri matokeoPepa kwangu imekuwa ya Ovyoh tu mkuu. Hapa najiliwaza na game ya Yanga Huku CBSL. Kuna jirani yangu ye ndo kaanza kulalamika mlemle ndani kabla hatujatoka ety maswali mawili hajafanya.. sijui akinizuga Mimi tu dadeq 🤓🤓