Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toka nipate placement nikaacha kabisa kupiga vibarua(saidia fundi)[emoji1787][emoji1787][emoji1787] + kuzunguka site kufunga camera na network (Kwa mhindi) mwanzo nilikua nimekomaa sana mikono miezi 2+ Sasa siendi Mishe akiba yangu inaenda na maji Sasa nimekua soft, mzembe sana kitambi kama chote now nikibeba maji ndoo mbili Nahema sana mhindi amenipigia sana simu namwambia nipo mkononi narudia tarehe 30 jamaaa zangu mafundi nao michongo inapumua Kwa shida sikukuuu watu wamestop kujenga [emoji1787] Sasa Kwa kua Hela inaenda kuisha tarehe 1 nitamtafta huyu kanjibai nimwambie nipo town now niende kuhangaika na cable huko[emoji22][emoji22] kesho naanza kukimbia na kufanya mazoezi nimekuwa mdebwedo sana haya mambo ya tutakupigia simu yakijinga sana[emoji22]
Kumbe kuna majobless wana vitambi na hamsemi..