Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usichoke mwanangu neema yaja wakati mwengine unashtua kidogo hizi shida hata kuvaa vizuri na kwenda showroom kulizia hata bei ya V8[emoji23] unaushtua kidogo hizi shida zetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakubaliana na ww mkuu.. Jana nimefanya pepa.. inabidi uchanganye akili sio kitongo..
But tutapambananao hvyohvyo Hadi kieleweke
Pepa za jana aseeh acha kabisa
Laboratory scientist wa mechanics wametolea zile auxiliary pump na haydraulic machine ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aseeh acheni haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ