Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usichoke mwanangu neema yaja wakati mwengine unashtua kidogo hizi shida hata kuvaa vizuri na kwenda showroom kulizia hata bei ya V8[emoji23] unaushtua kidogo hizi shida zetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha! Mkuu utasababisha jobless wanaswe makofi huko kwenye showrooms.

Ukituliza akili ukamwangalia jobless machoni kwa umakini, unamjua tu.

Shida zina mbinu nyingi za kujiibua, hata ukitumia nguvu kuzificha.


(tunataniana siku ziende, tusichukulie serious).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom