Kenfurah
Senior Member
- Jan 23, 2019
- 113
- 321
[emoji120] Amen, ngoja tusubirie hatma yetuAshapata kazi huyo na ni mwanamke ndo kbsaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] Amen, ngoja tusubirie hatma yetuAshapata kazi huyo na ni mwanamke ndo kbsaaa
Hiyo avatar ni wewe[emoji120] Amen, ngoja tusubirie hatma yetu
ngoja tujiandae😅 wametupa siku nne tuKuna pdf nzito sana ya watu wa ASA wanaitwa wakakandwe huko.
ukishafika kazini utazoea,utakuwa unashinda UDASA ukinywa beer[emoji2][emoji2]Ndio mkuu yaani PSRS wangejua ninavyoependa UDSM,, wangenipa tu hyo kazi.. nitafanya kazi kama punda,, akiyanani UDSM watapata Jembe kabisa hapa[emoji23][emoji23]
Swali la kwanza la oral iwe private au gvt ni hili: Tell us about yourself,Who are you, Explain about yourself.MLIOFIKA ORAL WIKI HII TUNAOMBA HAPA MASWALI YALE COMMON KWA WOTE ILI TUENDELEE KUJIANDAA
kama Kuna mtu anatangazi la kazi la ASA please naliomba
Bado Afisa Biashara, Account Officer n.kNafasi zipi Bado kuna kundi la auditor II na Account II walifanya 23/11/2022
Ndo uwaulize na wenzako ,mliopiga nao usahili vp,,kuna mtu kapigiwa au Bado bila bila ??..ADEM si waliofanya usahili mwezi wa 9 kweny trh za 20 hv ??Vipi kuhusu fununu za ADEM? Au walipiga simu?
Zee la utelezi [emoji38][emoji38] hauachi kufukuzia tu [emoji23][emoji23]Hiyo avatar ni wewe
😂😂😂😂Watoto wananikataa kama utumishi aseeh kudadekiZee la utelezi [emoji38][emoji38] hauachi kufukuzia tu [emoji23][emoji23]
Maana kila siku unakataliwa na hujakata tamaa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Kaka niliishiwa nikabaki na nauli tu hata vocha ilishikana kununua ,jobless nilikuwa na hali mbaya sanaTukajua Upo QATAR kweny kombe la Dunia bhna [emoji23] [emoji23][emoji23] wizy
Ukilamba asali huu uzi utakua batili!!!!😂😂😂😂😂Kaka niliishiwa nikabaki na nauli tu hata vocha ilishikana kununua ,jobless nilikuwa na hali mbaya sana
😂😂😂😂Acha kabisa aseeh yani nilibaki na elfu 28 afu nauli elfu26 nikanunua soda ikabaki buku ya daladala mzeeUkilamba asali huu uzi utakua batili!!!!
Kaka huo msoto ni wa kawaida japo msoto siyo sifa!😂😂😂😂Acha kabisa aseeh yani nilibaki na elfu 28 afu nauli elfu26 nikanunua soda ikabaki buku ya daladala mzee
daaah kweli aseehKaka huo msoto ni wa kawaida japo msoto siyo sifa!
Hayo ni maisha ya kawaida kwa jobless!daaah kweli aseeh
Kweli kiongozi tusubiri placement aseehHayo ni maisha ya kawaida kwa jobless!