Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana mkuu nimejikuta nina furaha mno kila jema kwako
 
Okay nilikosea tu kwenye uandishi, asante kwa kunisahihisha.
Wanawake tulikua watatu, post inahitaji watu wawili
 
Wanaume tumeumbwa matesooo matesooo kuhangaikaa[emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji1][emoji1]
Haha haha [emoji2][emoji2] " mara baada ya kuitwa oral, nilikutana na wanawake kwenye post yangu,, nikajipa moyo nitawakandaaa ,,kumbe cjui watanikanda kindoige...oooohh jamani ninateseka na wanawake kwenye oraaal,,ooh wanaume tumeumbwa matesoooo,matesoo kutoboa,,"" [emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji17] Genuine raf wizy
 
Omba mungu wavurunde 🤣🤣🤣 lkn vingnevyo sjui uwapite vimarks 2 ah umeliwa mzee 🤣🤣 wadada haooo kwenye mrija wa asali
 
Mungu ametenda kila la kheri kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…