Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana mkuu kwa kupata access ya mrija wa Asali.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ukawe mtumishi bora kiongozi hence confirmed shortlisted=placement or data base
Selected for oral=baba jeni bye bye[emoji23][emoji23][emoji23] nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu mamaeeeee
Kwa hiyo suti ipo standby ama?
 
Ushuhuda kama huu nitautoa nikiwa baharini napishana na samaki!!
 
Sana aisee -yaani unafikiria hela ulizo poteza kufika kwenye mkando, then wanakufanya kama Mandonga mtu kazi.Swali la pili tuu , unaanza unasikia kusanya muda umekwisha..
Ile kuanza kubana karatasi muda mfupi baada ya kuanza huwa inaniboa sana.

Unakuta upo swali la pili, ghafla unaona stepla inaanza kutembezwa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ukawe mtumishi bora kiongozi hence confirmed shortlisted=placement or data base
Selected for oral=baba jeni bye bye[emoji23][emoji23][emoji23] nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu mamaeeeee
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wizy mzee wa status unconclode [emoji28][emoji28] Shortlisted=mrija wa asali au benchi
Selected for oral = haijulikani
Mungu atusaidie sana majobless tuingie hata benchi tutulie tusubrie nafasi ya kuingia kwenye mrija wa asali [emoji22]
 
OYA UKISHAANZA KAZI UNIAMBIE maana Kuna watu wanataka kunitania mamaeeee zao
 
Mungu ametenda.[emoji119]

Hongera sana mkuu.
 



Toofast
Majibu VP kwa mtazamo wako kk jinsi ya kujibu
Mfn ..KWA UELEWA WANGU MDOGO ingekuwa mimi majibu ya maswali

1.linaeleweka utaje holder yako , experience iliyoifanya, skills ulizonazo, na jinsi ulivyo tayari kwa kazi kuleta matokeo ndani ya taasisi
2. Ninge mention point 5 (angalizo jinsi akili au uwezo wako hapa ss ,,unaweza kukuta unajibu mbili nyingine za kutafuta kwa tochi na zisionekane au zionekane)
3.Hili ni kutoa 5 points na kuelezea ,,linahitaji explaination of 5 points( itategemeana na point ulizonazo kichwani kwa wakati huo ilikuakikisha unapoint 5 sio poa )

4. mention 5 challenges nazotarajia kukutanazo ( kwa mimi nitajiongeza ningemention challenge moja moja na maelezo kidogo na jinsi ya kuikabili au kuitatua changamoto ,hata kama nitataja point 3 au 4 .. jaribu kuonesha utofauti na candidates wengine kwenye kujibu

5.kutoa njia 5 za kumaintain pengine unaweza kuelezea jinsi ya kufanya kazi (depend na ability yako ya kujibu ipoje na kuelewa swali)
 
Hongera sana
 
Mkuu swali la challenge linatubeba sana mzee na ukitoa na solution ujue umefaulu mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve matatizo kazini
 
U did Ur work and Almighty God did the rest (prayer change things in mysterious way) [emoji123][emoji123] tunashukuru kwa ushuhuda Myunani wa II kama hutojali tusaidie experience yako ulivyojibugu maswali ya oral vzr angalau jobless tupate vitu vya kuongeza regardless ni taaluma tofauti tofauti ila inatusaidia wasakatonge wenzio ,
 
Kweli atupe muongozo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…