Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo sana ,ukiingia oral ukawa na mademu hapo hesabu umeahapotea aseeh
 
😂😂😂😂Aseeh tuishi kitaalamu sana humu
 
Omba mungu wavurunde [emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn vingnevyo sjui uwapite vimarks 2 ah umeliwa mzee [emoji1787][emoji1787] wadada haooo kwenye mrija wa asali
Hata kama una 75 wao wakawa na 60 na amekuzidi umri au mnafanana umri ningumu kutoboa labda uwazi umri, vinginevyo litokee zali la mental tu. Ndio maana tunasema maombi muhimu kabla na baada ya usaili na usiache fanya hivyo mpaka pdf itoke
 
Shortlisted=placement
Shortlisted=data base sasa hapo nikuchagua upate ipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikishindikana basi chagua selected for oral hahhhh
Kwa hyo Machaguzi matatu sio wizy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1.jibu ni sahihi zaidi=placement
2.jibu ni sahihi=database/benchi unasubria nafasi
3.jibu ni jibu =selected for oral (lolote laweza tokea [emoji3])
 
Oral mlipiga wangap, vacancy zilikua ngap kaka
 
Kuitwa kazini muda mwingine haijalishi Wanafunzi wamefungua au Bado ..Maana kabla ya ww si kuna wakufunzi wapo wanafundisha SoMo Hilo?? haiwezekani watu wasiwapo hapo kazini kuendeleza majukum ..ni suala la muda kutoka majibu
 
Hongera sana, tumejifunza kitu hapa
 
Pole sana, ndio tunakula kwa majasho yetu namna hii.

PSRS nao hawatusikii watoe hata placement ya kueleweka tujue mbivu na mbichi ili angalau mtu uwe na ratibu nzuri yenye mapumziko ya kueleweka ndani yake.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wao status zao zinasomekaje baada ya kulamba Asali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…