Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haha haha [emoji2][emoji2] " mara baada ya kuitwa oral, nilikutana na wanawake kwenye post yangu,, nikajipa moyo nitawakandaaa ,,kumbe cjui watanikanda kindoige...oooohh jamani ninateseka na wanawake kwenye oraaal,,ooh wanaume tumeumbwa matesoooo,matesoo kutoboa,,"" [emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji17] Genuine raf wizy
😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo sana ,ukiingia oral ukawa na mademu hapo hesabu umeahapotea aseeh
 
Hahaha! Nataka mkuu ila nilishtuka namna ukarimu wako ulipanga kwa kasi sana tena ghafla.

Hata hivyo picha wanazoweka kwenye Avatar zisikuchanganye ukauohonga ukarimu wako bure mwishoni kumbe ni mwanaume.

Mpaka leo nikifikiria kumbe Mkuu moneytalk ni mwanaume nguvu zinaisha. Natamani siku moja, aje atengue kauli na kusema alikuwa anatutania.
😂😂😂😂Aseeh tuishi kitaalamu sana humu
 
Omba mungu wavurunde [emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn vingnevyo sjui uwapite vimarks 2 ah umeliwa mzee [emoji1787][emoji1787] wadada haooo kwenye mrija wa asali
Hata kama una 75 wao wakawa na 60 na amekuzidi umri au mnafanana umri ningumu kutoboa labda uwazi umri, vinginevyo litokee zali la mental tu. Ndio maana tunasema maombi muhimu kabla na baada ya usaili na usiache fanya hivyo mpaka pdf itoke
 
Shortlisted=placement
Shortlisted=data base sasa hapo nikuchagua upate ipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikishindikana basi chagua selected for oral hahhhh
Kwa hyo Machaguzi matatu sio wizy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1.jibu ni sahihi zaidi=placement
2.jibu ni sahihi=database/benchi unasubria nafasi
3.jibu ni jibu =selected for oral (lolote laweza tokea [emoji3])
 
Hellow!!
Naleta ushuhuda....mimi ni mmoja kati ya wasoma comment sijawah kabsa comment hum[emoji16]..

Ila tangu nmefanya oral yangu September huu uzi umenifariji sana...ratiba yangu ilikua asubh na jion lazma niupitie[emoji23]..

Hatimae leo asubh naingia hum kupata taarifa kilichojir nmeona taarifa ya placement!!!

Haraka nikaongia website nakutana na jina langu...alooo mshukuriwe sana...mjue kua kuna sisi ambao sio wachangia mada ila tunafatilia kila kinachojir na tunafarijika[emoji4]

Kuhusu status kwenye web iko "SHORTLISTED" na kwenye app iko "SELECTED FOR NULL" tulifanya oral tu

Kila la kheri kwenye haya mapambano wapendwa hakuna kukata tamaa[emoji120]
Oral mlipiga wangap, vacancy zilikua ngap kaka
 
Kama masomo hawajanzaa Bhac Haina shida sikilizia. Nilijua wanafunzi wameanzaa kusoma. wakikuita ss hv ni Unyonyaji Huo Cheque itanzaa kusoma mshahara wa December na Haupo kituoni Bado Mpya kabs kwny mrija.
Kwa mantiki hiyo endelea na kawaida mpak wafungue chuo.
Kuitwa kazini muda mwingine haijalishi Wanafunzi wamefungua au Bado ..Maana kabla ya ww si kuna wakufunzi wapo wanafundisha SoMo Hilo?? haiwezekani watu wasiwapo hapo kazini kuendeleza majukum ..ni suala la muda kutoka majibu
 
Hellow!!
Naleta ushuhuda....mimi ni mmoja kati ya wasoma comment sijawah kabsa comment hum[emoji16]..

Ila tangu nmefanya oral yangu September huu uzi umenifariji sana...ratiba yangu ilikua asubh na jion lazma niupitie[emoji23]..

Hatimae leo asubh naingia hum kupata taarifa kilichojir nmeona taarifa ya placement!!!

Haraka nikaongia website nakutana na jina langu...alooo mshukuriwe sana...mjue kua kuna sisi ambao sio wachangia mada ila tunafatilia kila kinachojir na tunafarijika[emoji4]

Kuhusu status kwenye web iko "SHORTLISTED" na kwenye app iko "SELECTED FOR NULL" tulifanya oral tu

Kila la kheri kwenye haya mapambano wapendwa hakuna kukata tamaa[emoji120]
Hongera sana, tumejifunza kitu hapa
 
Nlifika busy busy kutafuta pesa, nikizama Kariakoo asubuh nkaanza na delivery za watu kurudi nyumbani usiku nmechoka hoi, nkishaoga na kula usingizi huoo. Yaan maisha yangu yamekuwa ya mahangaiko. J3 nlijioverwork sana hadi nikaumwa ndo mpaka leo, ndo najisikia afadhali kidogo. Leo nimekaa tu nyumbani ndo nkaanza pitia message moja baada ya nyingine
Pole sana, ndio tunakula kwa majasho yetu namna hii.

PSRS nao hawatusikii watoe hata placement ya kueleweka tujue mbivu na mbichi ili angalau mtu uwe na ratibu nzuri yenye mapumziko ya kueleweka ndani yake.
 
Kuhusu placement bado, mimi nkiitwa kazin lazima nije humuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa marafiki zangu ambao tyar wapo kazin ndo wananitia pressure hapa wananambia status yako kwenye hizo post inaonesha nawaambia zote shortlisted, eti hongera dada[emoji1787]. Nkiwaza humu tulishaongelea hili swala naishia kucheka nawaambia hamjui utumishi ikiamua kukufurahisha, ili mradi tu watuchanganye
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wao status zao zinasomekaje baada ya kulamba Asali?
 
Back
Top Bottom