Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka huyo wa recently aliyepata afu imeandika selected for oral wewe umemuona wapiiiiii??au ujobless umekuchanganya kijana wa hovyo
Kuna rafiki angu amepata Ardhi university ,,tena Ardhi awakuwa wanataka ifike miezi, baada ya usahili,wiki mbili tu Majibu ,,nilimuulizaga we status yako vepe ,akascreen short ipo selected for oral [emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa Mungu asimame kwa jobless
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizo process hazipita utumishi ndio maana status zillishia kwenye oral maana walidecide huyu apite ni ardhi
 
Wadada walikua wangapi na post zilikua ngapi?
Wadada wawili na wakaka wanne pamoja na post 2 ,but zote wamechukua wadada .kwa ufupi wakaka tumekandwa yan mi niliandaa mpaka suti,moka mwamvuli pamoja na kibeg fulan amazing kwa ajili ya kubebea barua bt Mkandaj mkuu Mr Kitenge amenikanda barabara kilichobak ni kwenda machimbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…