Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema maisha sio fair kabisa Kuna jamaa nimepiga nae tuit kwa mgote ndo alitusimamia usaili juzi nikasema mamaeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka sana aisee, ukisikia Maisha hayana fomula ndio hivi sasa.

Muda wetu utafika mkuu, tuwe na subira
 
😂😂😂😂Asa kilichoniuma yani nikamwambia mwanangu vipi aseeh ,akanijibu aah tupo tu tunahangaika hapa
Nikajisemea huyu anahangaika nini ikiwa mimi nimekuja kukandwa nayeye ndo anasimamia
 
Wadada wawili na wakaka wanne pamoja na post 2 ,but zote wamechukua wadada .kwa ufupi wakaka tumekandwa yan mi niliandaa mpaka suti,moka mwamvuli pamoja na kibeg fulan amazing kwa ajili ya kubebea barua bt Mkandaj mkuu Mr Kitenge amenikanda barabara kilichobak ni kwenda machimbo tu
Daahhh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], hajaishia hapo akaamua ajipost kwenye home site ili mumuone vizuri anavyofanana, unapoona umekandwa ukarejee kuiona sura yake ilivyo huku ukilinganisha na jinsi alivyokufanyia
 
Hahaha! Acha kabisa Mkuu, yani Jf kila kitu mtu anaweza akakifanya feki, kuanzia jina mpaka picha ila cha ajabu kuna watu wana fall in love hivyo hivyo.

Sasa unajiuliza huyu hasa amekuwa amependa nini?

Kibaya zaidi mwisho wa picha anakuja gundua kumbe ni mwanaume mwenzie, uwekezaji wake unaishia hapo.
Nilipokuwa mgeni humu, hizi Avatar nilidhani ndio picha halisi za wahusika, nikaja kujua kuwa nilikuwa sijui
 
Ila wizy inabidi tuongee vizuri, haiwezekani kila usaili wewe unafanikiwa kufika mpaka Oral, hebu tupe siri Mkuu.

Maana Mdogo wangu pamoja na kumuamini yuko smart sana lakini mpaka sasa ameenda interview mbili na zote ameanguka vibaya sana.
Asikate tamaa ataimprove, mpe habari zangu kuwa nishakandwa written 3 mfululizo(3 beaten in a row), ya 4 ndio nilikanda.

Huyo wizy, mwanzo pia alishakandwa.

Majority huwa tunakandwa mwanzoni ila tunafika oral kadri muda unavyozidi kwenda
 
Not selected/ selected for oral tunaijua tunaipata baada ya written interview , ,,mengine baada ya hapo ni unknown kabisa umetoboa au utaanzia benchi au haupo hata kweny list ya timu ww ni majeruhi wa mchezo unasubria upone urejee uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23] ...yote majibu kikubwa kushona na kutulia na kupambana [emoji23][emoji23] wizy
Daah, majeruhi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani unaukosa uhondo(mrija nyeti) kama vile akina Benzema walivyokosa WC(kitu ambacho hakitokei haraka)
 
Asikate tamaa ataimprove, mpe habari zangu kuwa nishakandwa written 3 mfululizo(3 beaten in a row), ya 4 ndio nilikanda.

Huyo wizy, mwanzo pia alishakandwa.

Majority huwa tunakandwa mwanzoni ila tunafika oral kadri muda unavyozidi kwenda
Kabisa Mwifwa aende ajifunze ,apate uzoefu wa hizi interview zinakuaje ,aendelee kujipanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kilichoniuma yani nikamwambia mwanangu vipi aseeh ,akanijibu aah tupo tu tunahangaika hapa
Nikajisemea huyu anahangaika nini ikiwa mimi nimekuja kukandwa nayeye ndo anasimamia
Kwa kawaida huwa hatudisclose dili zetu tunazopata, ndio maana kasema "tunahangaika hapa"

Yeye ana maper diem hapo[emoji3][emoji3][emoji3], wewe kakuzuga kitaalamu tu
 
Back
Top Bottom