Haoni shortlistedSijaona mtu aliefnya oral humu akasema yey haoni selected ukiniacha mim wa ict π€£π€£ isje ikawa kila anaeenda oral anaekewa shortlisted π€£π€£
Kwakweli jobless hawanaga kulemba ingawaje wamepewa siku saba kuanzia jana ila watu washafika Dom kwahiyo ni around siku tatu huwa tayari barua zipo kinindoni kwa joblessπππππKaka tujiandae kuchukua barua na pia kukaa data base
Inakuwa na hatua tatu au nne mzee hii ya nne ndo yenyewe ile yakwanza sioSijaona mtu aliefnya oral humu akasema yey haoni selected ukiniacha mim wa ict π€£π€£ isje ikawa kila anaeenda oral anaekewa shortlisted π€£π€£
Hiyo shortlisted inakuwa ipo kama yenyewe au inakua shortlisted labda interview number na eneo la usaili au hiyo shortlisted mnayoizungumzia ni ipi apo nipeni muongozo wakuuHongera kwa shortlisted wote π€£π€£
mkuu umeshafika dodomaKuna vijana sita nimekutana nao makulu wameingia leo Nimeongea nao wao Ni TFS Guard kesho wanaingia asha rose migilo kuchukuwa barua haina kulemba lile la stutus wanadai kwao shortlisted hadi mdaa niliyokutana nao,,,,Jobless haina kulemba
Shortlisted"" kama ilivyo Yani haina kingine cha zaidiHiyo shortlisted inakuwa ipo kama yenyewe au inakua shortlisted labda interview number na eneo la usaili au hiyo shortlisted mnayoizungumzia ni ipi apo nipeni muongozo wakuu
Mkuu usitishike mzee hio shortlisted inabadilika kwa kila aliefanya oral, kama kwako ipo "selected for oral" saivi baada ya mda lazima itabadilika tu itakua " shortlisted " so worry out man.Sijaona mtu aliefnya oral humu akasema yey haoni selected ukiniacha mim wa ict [emoji1787][emoji1787] isje ikawa kila anaeenda oral anaekewa shortlisted [emoji1787][emoji1787]
Nipo dom mpendwamkuu umeshafika dodoma
unafanya enterview lini,au ndo umeenda kuchukua barua yakureport kaziniNipo dom mpendwa
Kabisa Skywalker00 mtie moyo mwamba amuambie hzi status hazina Jambo ...atulie asije akapaniki wakt ni kitu Cha kawaida tu [emoji4][emoji4][emoji4]Mkuu usitishike mzee hio shortlisted inabadilika kwa kila aliefanya oral, kama kwako ipo "selected for oral" saivi baada ya mda lazima itabadilika tu itakua " shortlisted " so worry out man.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππHaya mambo inatakiwa uyazoee tuKabisa Skywalker00 mtie moyo mwamba amuambie hzi status hazina Jambo ...atulie asije akapaniki wakt ni kitu Cha kawaida tu [emoji4][emoji4][emoji4]
Yes yesπππππAsaivi utumishi wanatukanda na ngumi ya peresu peresuTuite shortlisted ya BETTING NDOIGE ktk kutoboa au kuingia kanzidata wizy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nasubiri placement huku nimekuja ktk mishe nyingine tuunafanya enterview lini,au ndo umeenda kuchukua barua yakureport kazini
[emoji18][emoji18][emoji18]inakuwa na rangi gani nyeusi , nyekundu[emoji3][emoji3] au kijani? wizyShortlisted"" kama ilivyo Yani haina kingine cha zaidi
Kuhusu Dua, usijali huu ushakuwa utamaduni wetu humu.usinisahau kwenye maombi yako
Nyeusi kaka maandishi makubwaππππ[emoji18][emoji18][emoji18]inakuwa na rangi gani nyeusi , nyekundu[emoji3][emoji3] au kijani? wizy
Afu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs starMie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ni mwanafunzi wa veta??ππππAfu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs star