Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂Miaka miwili tu natakiwa niwe na Subaru kutembea kwenye jua nimechoka sasa
Hapo madonda ya tumbo lazima yakuhusu huyakwepi utajibana sana Hela ya kula na Kodi juu bado ndugu dah napanga mie nikianza job ndugu niwadanganye sijaanza kupata mshahara mwaka mzima napewa posho tu jamani au niwablock?🤣🤣
 
😂😂😂😂nikishanunua Subaru ndo nitawambia nimepata kazi
 
Mie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂Hahhhh ndugu wanaanza kukuona wa muhimu sasa
 
Back
Top Bottom