😂😂😂😂usikubali kuacha swali mzeemimi ndo nitawachanganyia kingereza na kiswahili sasa,kuliko niache karatasi nyeupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂usikubali kuacha swali mzeemimi ndo nitawachanganyia kingereza na kiswahili sasa,kuliko niache karatasi nyeupe
Napandisha pdf ya IAE tulia kwanza kijanaHivi mbona kama website ya utumishi haifunguki??
Kwahiyo umeona bora uzime mtandaoNapandisha pdf ya IAE tulia kwanza kijana
😂😂😂😂 Jobless ukipata Subaru utatugonga aseehPia naweka na call for interview ya TRA hapa mtandao unanisumbua kuupload
Nikipata muda nitarudi kukupa muongozo vizuri naamini atapita akiufataYah, hili nakubali sana Mkuu. Unawezajikuta umgusa kila eneo ila kwenye mtihani ndipo unagundua kuna sehemu ulisema haitoki ndipo mtihani ulipotungiwa.
System yenyewe hiyo huwa haitaki usumbufu wa user nikiwa naongeza walamba asaliKwahiyo umeona bora uzime mtandao
Connection ikirudi website itakuwa na mazaga kibao ya kufungia mwezi😂😂System yenyewe hiyo huwa haitaki usumbufu wa user nikiwa naongeza walamba asali
Hivi mkuu Subaru Yako utainunua Baada ya mda Gani wa kuwa Kazini maana nimeangalia bei mpka inafika mkononi ni kama 22million yana nimechanganyikiwa kabisa hapa dah😂😂😂😂 Jobless ukipata Subaru utatugonga aseeh
Ni mavitu kibao nimeyasetia na time mengine yatajipost badae usikuConnection ikirudi website itakuwa na mazaga kibao ya kufungia mwezi😂😂
😂😂😂Miaka miwili tu natakiwa niwe na Subaru kutembea kwenye jua nimechoka sasaHivi mkuu Subaru Yako utainunua Baada ya mda Gani wa kuwa Kazini maana nimeangalia bei mpka inafika mkononi ni kama 22million yana nimechanganyikiwa kabisa hapa dah
😂😂😂Unataka kujibebea jobless wa MunguNi mavitu kibao nimeyasetia na time mengine yatajipost badae usiku
Kama jana😂😂Ni mavitu kibao nimeyasetia na time mengine yatajipost badae usiku
Hapo madonda ya tumbo lazima yakuhusu huyakwepi utajibana sana Hela ya kula na Kodi juu bado ndugu dah napanga mie nikianza job ndugu niwadanganye sijaanza kupata mshahara mwaka mzima napewa posho tu jamani au niwablock?🤣🤣😂😂😂Miaka miwili tu natakiwa niwe na Subaru kutembea kwenye jua nimechoka sasa
Subiri tutoke game ya tunisiaKama jana😂😂
Hahahaha nafanya uvuvi hapa nishaona huu Uzi Kuna warembo wanatembelea Sasa acha nijifanye Mtu wa utumishi tu 🤣🤣🤣😂😂😂Unataka kujibebea jobless wa Mungu
😂😂😂😂nikishanunua Subaru ndo nitawambia nimepata kaziHapo madonda ya tumbo lazima yakuhusu huyakwepi utajibana sana Hela ya kula na Kodi juu bado ndugu dah napanga mie nikianza job ndugu niwadanganye sijaanza kupata mshahara mwaka mzima napewa posho tu jamani au niwablock?🤣🤣
Kaka unafanya uvuvi kitaalamu sana tunaomba utuwekee hata pdf moja tu😂😂😂Hahahaha nafanya uvuvi hapa nishaona huu Uzi Kuna warembo wanatembelea Sasa acha nijifanye Mtu wa utumishi tu 🤣🤣🤣
Mie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂nikishanunua Subaru ndo nitawambia nimepata kazi
😂😂😂😂Hahhhh ndugu wanaanza kukuona wa muhimu sasaMie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi 🤣🤣🤣🤣