Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Afu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs star
Pata kazi ujue changamoto zake Twinawe ..na pia tukumbuke kwenye maisha kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha ... unaweza ajiriwa ukachukua mkopo ukanunua gari ,, kwenye makato ukawa mtu wa kukopa watu ,na watu wanajiuliza huyu si kaajiliwa hela anapeleka wap
 
Kweli kila mtu na mipango yake
 
Mie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi 🤣🤣🤣🤣
hahahahahahahaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…