Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Naishi karibu na veta ya changombeWe ni mwanafunzi wa veta??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishi karibu na veta ya changombeWe ni mwanafunzi wa veta??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa dar ni heri uwe na boda kuliko gariNaishi karibu na veta ya changombe
Pata kazi ujue changamoto zake Twinawe ..na pia tukumbuke kwenye maisha kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha ... unaweza ajiriwa ukachukua mkopo ukanunua gari ,, kwenye makato ukawa mtu wa kukopa watu ,na watu wanajiuliza huyu si kaajiliwa hela anapeleka wapAfu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs star
Kweli kila mtu na mipango yakePata kazi ujue changamoto zake Twinawe ..na pia tukumbuke kwenye maisha kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha ... unaweza ajiriwa ukachukua mkopo ukanunua gari ,, kwenye makato ukawa mtu wa kukopa watu ,na watu wanajiuliza huyu si kaajiliwa hela anapeleka wap
Muda huu inafunguka kiulaini na hamna jipyaHivi mbona kama website ya utumishi haifunguki??
Wengi tu wanamiliki magariAfu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs star
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utanifanya nionekane mwehu kwakucheka mbele za watu
Asome sana na pia afate miongozo
Nikipata muda nitarudi kukupa muongozo vizuri naamini atapita akiufata
Ngoja nitoke kwenye sherehe kakaAsante sana Mkuu, nijaze ushauri ili iwe rahisi zaidi nikiongea kama kaka niwe na madini ya kutosha kumpa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Afu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs star
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We ni mwanafunzi wa veta??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa, mkuu tuendelee tu kuzimikia Avatar
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyeusi kaka maandishi makubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho itatoka asubuhiHivi admin wa utumish hizi pdf qnaend nazovnyumbani naon updates znatoka usiku
Kuna updates yeyote?Hivi admin wa utumish hizi pdf qnaend nazovnyumbani naon updates znatoka usiku
Gari bei MkuuAfu mbona sionagi walimu wa veta wakimiliki magari wengi naonaga wanatimba na boxer na tvs star
hahahahahahahaaMie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi 🤣🤣🤣🤣
Mie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi 🤣🤣🤣🤣