Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Hiyo ni sawa na imani potofuπππππ sio kweli nina imani kubwa huu mwezi hauishi
Kwahiyo nawewe ukaamini ?hiyo after three weeks ndo inavyokua?
3 weeks==3 months mkuu jiongezehiyo after three weeks ndo inavyokua?
eeeh mzee nikaelew mzigo hii week wanaudondoshaKwahiyo nawewe ukaamini ?
dah math Pro hzo3 weeks==3 months mkuu jiongeze
ππππau sio?basi subirieeeh mzee nikaelew mzigo hii week wanaudondosha
Utakuta tumeufutaπππitabdi niendelee na mishe zangu bhas hata huku kwenye uzi nije nichungulie mwakan mkifisha post 1000+ π π
Codeπdah math Pro hzo
π€£π€£π€£π€£Utakuta tumeufutaπππ
Ndicho kilicho baki tukipata kazi tunaufuta mamaeeeπππππ€£π€£π€£π€£
Ndio ili Baada ya mwaka tukija kuanza kudanganya member wa jf watu washindwe kufukua makaburi kila wakitafta sehemu tulio wahi comment hawaoniπ€£π€£π€£Ndicho kilicho baki tukipata kazi tunaufuta mamaeeeππππ
Itakuwa admin kasahauLeo naona bila bila aseeh
πππππNdio ili Baada ya mwaka tukija kuanza kudanganya member wa jf watu washindwe kufukua makaburi kila wakitafta sehemu tulio wahi comment hawaoniπ€£π€£π€£
Ujobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipataNilidhan mara baada ya kuisha game ya morroco na ushindi iliyopata ....mzee wa flash ange upload angalau pdf 1 ila bilabila labda atatoa baada ya game ya Mjerumani
Tunapata shida sana aseehUjobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipata
Tuendelee kuvuta subra[emoji23][emoji23][emoji23] ADEM tunawasubria Ahmet
Just imagine tunanunua bando ili tuangalie placementTunapata shida sana aseeh
π π mana hapa nimeshaandsaa barua ya kuresign kabsa mamaeeππππau sio?basi subiri
Ujobless ni kama laanaπππJust imagine tunanunua bando ili tuangalie placement