Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Hiyo ni sawa na imani potofu๐๐๐๐๐ sio kweli nina imani kubwa huu mwezi hauishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sawa na imani potofu๐๐๐๐๐ sio kweli nina imani kubwa huu mwezi hauishi
Kwahiyo nawewe ukaamini ?hiyo after three weeks ndo inavyokua?
3 weeks==3 months mkuu jiongezehiyo after three weeks ndo inavyokua?
eeeh mzee nikaelew mzigo hii week wanaudondoshaKwahiyo nawewe ukaamini ?
dah math Pro hzo3 weeks==3 months mkuu jiongeze
๐๐๐๐au sio?basi subirieeeh mzee nikaelew mzigo hii week wanaudondosha
Utakuta tumeufuta๐๐๐itabdi niendelee na mishe zangu bhas hata huku kwenye uzi nije nichungulie mwakan mkifisha post 1000+ ๐ ๐
Code๐dah math Pro hzo
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUtakuta tumeufuta๐๐๐
Ndicho kilicho baki tukipata kazi tunaufuta mamaeee๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ndio ili Baada ya mwaka tukija kuanza kudanganya member wa jf watu washindwe kufukua makaburi kila wakitafta sehemu tulio wahi comment hawaoni๐คฃ๐คฃ๐คฃNdicho kilicho baki tukipata kazi tunaufuta mamaeee๐๐๐๐
Itakuwa admin kasahauLeo naona bila bila aseeh
๐๐๐๐๐Ndio ili Baada ya mwaka tukija kuanza kudanganya member wa jf watu washindwe kufukua makaburi kila wakitafta sehemu tulio wahi comment hawaoni๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ujobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipataNilidhan mara baada ya kuisha game ya morroco na ushindi iliyopata ....mzee wa flash ange upload angalau pdf 1 ila bilabila labda atatoa baada ya game ya Mjerumani
Tunapata shida sana aseehUjobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipata
Tuendelee kuvuta subra[emoji23][emoji23][emoji23] ADEM tunawasubria Ahmet
Just imagine tunanunua bando ili tuangalie placementTunapata shida sana aseeh
๐ ๐ mana hapa nimeshaandsaa barua ya kuresign kabsa mamaee๐๐๐๐au sio?basi subiri
Ujobless ni kama laana๐๐๐Just imagine tunanunua bando ili tuangalie placement