Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hata mimi nina tabia hyo nikienda interview nikione furniture hata ofisi yenyewe haieleweki unaon hapa hmna jambo hapo

Hahaha! Hatari sana Mkuu.

Hili liliwahi kunikuta hata kwenye Ofisi za Mo Dewji pale Posta, miaka hiyo nilifika nikakuta mdada wa mapokezi amevaa nguo zimapauka na kiti alichoegemea lile sponji linaonekana.

Nilipoulizwa kilichonileta, ikabidi nibadilishe mada badala ya kusema ni kazi, nikamwambia nimekuja kuuliza Ofisi yenu mnajishughulisha na nini?
 
Wa sayansi ndo abase zaidi darasani
Lakini hawa wa biashara asome na ya nje Yale ambayo ni common tu ,nafikiri huwa yanahitaji ufatiliaji wa taarifa na habari zilivyo pia kupitia zile bajeti au taarifa za wizara mbali mbali inasaidia sana hiyo
 
Hahaha! Nimeshangaa sana. Jobless kwenye sherehe ukavunja Camera ya anayeshoot ukaanza kudaiwa utalipa na nini!

Si bora ukae nyumbani tu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hahhhh jana nimepiga Bavaria kwa hasira sana akiweka tatu mezani namwambia njoo na zingine hahhh
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…dharau hizo na ofisi za watu na bado unashida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ