Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hata mimi nina tabia hyo nikienda interview nikione furniture hata ofisi yenyewe haieleweki unaon hapa hmna jambo hapo

Hahaha! Hatari sana Mkuu.

Hili liliwahi kunikuta hata kwenye Ofisi za Mo Dewji pale Posta, miaka hiyo nilifika nikakuta mdada wa mapokezi amevaa nguo zimapauka na kiti alichoegemea lile sponji linaonekana.

Nilipoulizwa kilichonileta, ikabidi nibadilishe mada badala ya kusema ni kazi, nikamwambia nimekuja kuuliza Ofisi yenu mnajishughulisha na nini?
 
Asante sana Mkuu, nimekupata. Vipi au labda kwa upande wa kada za Sayansi kuna uwezekano sana kukutana na vitu vya darasani moja kwa moja ambavyo endapo ulibahatisha ukapitia inawezekana ukafanya vizuri?

Naona pia kama hawa wa masuala ya fedha kuna namna inabidi pia apambane na vitu vya nje ya darasani, kitu ambacho ni bahati nasibu sana, kwa mfano watu walileta maswali ya usaili wa Bunge, ile ilikuwa ni hatari sio usaili.

Au unaonaje mkuu?
Wa sayansi ndo abase zaidi darasani
Lakini hawa wa biashara asome na ya nje Yale ambayo ni common tu ,nafikiri huwa yanahitaji ufatiliaji wa taarifa na habari zilivyo pia kupitia zile bajeti au taarifa za wizara mbali mbali inasaidia sana hiyo
 
Hahaha! Nimeshangaa sana. Jobless kwenye sherehe ukavunja Camera ya anayeshoot ukaanza kudaiwa utalipa na nini!

Si bora ukae nyumbani tu.
😂😂😂😂Hahhhh jana nimepiga Bavaria kwa hasira sana akiweka tatu mezani namwambia njoo na zingine hahhh
 
Hahaha! Hatari sana Mkuu.

Hili liliwahi kunikuta hata kwenye Ofisi za Mo Dewji pale Posta, miaka hiyo nilifika nikakuta mdada wa mapokezi amevaa nguo zimapauka na kiti alichoegemea lile sponji linaonekana.

Nilipoulizwa kilichonileta, ikabidi nibadilishe mada badala ya kusema ni kazi, nikamwambia nimekuja kuuliza Ofisi yenu mnajishughulisha na nini?
😆😆😆😅dharau hizo na ofisi za watu na bado unashida
 
Back
Top Bottom