Ndo hivyo watu hatujui mshahara unavyozidi kuwa Mkubwa na Kodi na makato mengine yanakua makubwa piaKama wadau humu wanadai ni TA ni between 1.9M-1.5M ila take home ni 780K-960K
Mkuu inaweza cheza hapo kwenye 780k afu wale wa juu Zaid ndo inacheza hapo kwenye 955k mkuuππππHahhhh na wanaolipwa 1.3m watatoka na 500k sasa
Hapana nadhani wale wale wa 1.3 wanakunja kama 800 hao 1.9 itakuwa 1.1ml hiviMkuu inaweza cheza hapo kwenye 780k afu wale wa juu Zaid ndo inacheza hapo kwenye 955k mkuu
Pay as you earnNdo hivyo watu hatujui mshahara unavyozidi kuwa Mkubwa na Kodi na makato mengine yanakua makubwa pia
Kwahiyo mnashauri tuanze kuiba auππππPay as you earn
Nimepata Costa inaenda kahama ndo nipo mlandizi naenda kuwakanda utumishiMkuu umepanda zile Costa za kukodi au umepata private.
kijana wa hovyo sana mm selected for oral tu kazin sasa sa4ππππYani nilivyoona wanasema inabadilika nikasema leo siangalii aseeh maana nilivyoanza kumfokea boss afu nikute not selected πππ
ππππHahhhh sitaki kuangalia aseeehkijana wa hovyo sana mm selected for oral tu kazin sasa sa4
πππ
ππππnaona wamejoin leo na wamekuwa verified
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah
hahahaa kumbe nawe umeona hilo,sasa hivi anahangaika na prok
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna statement moja Aliandika "lakini wewe jamaniiiii"[emoji23][emoji23][emoji23]aseeh hapo hata unishikie bunduki siwezi kuandika kaka
ππππProk yupo bize na biashara Yule atanifunga bureeeNimeliona mkuu.
ππππHapo ndo nikaconfirm kuwa sio mjuba aseehHahaha! Nimecheka sana.
Yani hata mimi ni bore nijiunge na kikosi cha maagaidi cha M23 huko Kongo DRC kuliko kuandika hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndo nikaconfirm kuwa sio mjuba aseeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prok yupo bize na biashara Yule atanifunga bureee
ππππHahaha! Pole sana Mkuu, Kukata tamaa mapema kumeshakukosesha kombe
Mkuu, hapa najiandaa kwenda Pm, nasubiri tu atengue kauli na aseme yeye ni wakike.
πππHahaha! Yani Prok bila shaka ni mchaga, wanawake wa kichaga wanaijua pesa hatari sana.
Ukifanya mchezo unaweza kushangaa usiku wa manane ametoka ghafla bila taarifa, ukipiga simu anapokea tayari yuko kariakoo anafungasha mzigo.