Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi wanatupenda sana, wametufuata Hadi huku
Screenshot_20221202-213314.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna statement moja Aliandika "lakini wewe jamaniiiii"[emoji23][emoji23][emoji23]aseeh hapo hata unishikie bunduki siwezi kuandika kaka

Hahaha! Nimecheka sana.

Yani hata mimi ni bore nijiunge na kikosi cha maagaidi cha M23 huko Kongo DRC kuliko kuandika hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prok yupo bize na biashara Yule atanifunga bureee

Hahaha! Yani Prok bila shaka ni mchaga, wanawake wa kichaga wanaijua pesa hatari sana.

Ukifanya mchezo unaweza kushangaa usiku wa manane ametoka ghafla bila taarifa, ukipiga simu anapokea tayari yuko kariakoo anafungasha mzigo.
 
Back
Top Bottom