Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

"Ujue kuwa, lililokukosa halikuwa ni lenye kukupata, na lililokusibu halikuwa ni lenye kukukosa. Ujue kuwa Nusra ipo pamoja na Subira, faraja ipo pamoja na dhiki, na kwenye uzito kuna wepesi." - Prophet Muhammad

Muhimu next time ujifunze na kosa ulilolifanya leo kwa kuhakikisha unajipanga vyema katika kila hatua, pia huenda haikua riziki yako na hiyo ilikua ni sign tu.
Word
 
Oya wadau Hivi kwenye usaili wa hizi tutorial assistant maswali yake yanakuwaga vipi ?

Namaanisha yale ya oral interview maana naona watu wanaitwa direct mpaka kwenye oral yaani hakuna written so kama kuna mwenye experience ya oral interview za tutorial assistant afunguke Ili watu wajue pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom