Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapana mimi sio mchaga, ila ni vile tu maisha yangu ya utoto yalikuwa ya bata, wazazi walikuwepo, ikaja kama ghafla mmoja akatoweka, ikawa kama from hero to zero, tangu hapo ndo akili ilinikaa sawa[emoji23]

Hahaha! Sawa Mkuu, ila punguza kidogo kasi, mwanamke akishaijua pesa na mbinu za kuipata, basi tena huwa haioni thamani ya kujishusha mbele ya mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…