Yaelekea ASA watu wengi hatukwenda.accounts officer ii tuliitwa 900+ ila naona waliohudhuria ni 160+ pekee.
Tatizo hyo post ilikuwa inahitaji mtu mmoja tu, na hicho ndio kimekatisha wengi tamaa ya kwenda kwenye usaili.Watu hawana nauli mzee
Out of mada,wadau nimesahau password yangu ya kadi ya nmb,utaratibu ukoje jinsi ya kupata password mpya.
hapa sasa,ujasiri + lugha,ila kitaeleweka tu
Joto linaanzaga kuongezeka mwilini😂😂😂Hapo issue huwa ni lugha tuu😅😅😅.
Kama cha kuombea maji kinashuka vizuri tu mara nyingi mtu hujiamini. Issue ni pale lugha inapokuwa shida automatically na confidence inapungua.
Ulishawahi kuona ngamia kapita kwenye tundu la sindono wewe!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wewe utaanza kulamba kabla yangu
Kwani Kwimba ushaondoka?sio usiku,babati - dom sio mbali
Pole sana mkuu, next time jambia la cut off nilitakuwa upande wako, usife moyoNot selected for oral interview.
Hakuna kitu nachukia kama kufeli, ila Naamini Mungu yupo na Mimi..
Cutt of imeanzia 91..
Nimepata 89.5.
Nawapongeza wenzangu waliofanikiwa kuendelea na usaili.
Pole sana mkuu, next time itakuwa upande wakoLatra wamenipiga na kitu kizito..Mungu ajaalie kwa yeyote aliyeitwa Oral humu jukwaani..afanikishe.
Sio kila anayesema hivyo ni kweli, tuishi kitaalamu na hizo kauli[emoji3][emoji3]Hili jukwaa inaonekna lina mafaza wengi sana maana kila mtu anasema mdogo wake kafeli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuSio mimi kiongozi na hata ukifatilia nyuzi zangu mimi ni muajiriwa since July 2015 mdogo wangu anaenifata ndio hata nilimuulizia swali humu kuhusu kuingia oral maana ndio ilikuwaga oral yake ya kwanza na mimi interview nazofanyaga ni za TRA tu maana nimesoma taxation ifm ....na bahati nzuri ajira niliyopataga haikuwa na interview nilipata kama mhudumu wa afya baada ya kuona tax imekuwa ngumu kiajira nilisoma coz ya afya 1 year nikapata kazi moja kwa moja kwenye halmashaur na ikaja shida kwenye kubadilisha kada na ndio maana huwa nafanya interview za tra nikiwa nimepitisha barua kwa mwajiri ....lakini mungu sio athumani nilishauriwa coz ya tax haipo kwenye halmashaur nikashauriwa nisome CPA nikaanzia foundation level na sasa nipo level ya intermediate hivyo nilibadilishiwa cheo kwa kutumia cheti cha foundation kama msaidizi wa hesabu na nikimaliza CPA nitakuwa mhasibu rasmi....karibu halmashaur ya geita....huyo ninaemuuliziaga ni mdogo wangu ni CPA Holder na ninaishi nae kwangu hivyo waliitwa oral moja kwa moja za LGA NA MDA ...Hope nimekujibu kiongozi
moyo wa kiume champNot selected for oral interview.
Hakuna kitu nachukia kama kufeli, ila Naamini Mungu yupo na Mimi..
Cutt of imeanzia 91..
Nimepata 89.5.
Nawapongeza wenzangu waliofanikiwa kuendelea na usaili.
Usije ukafanya ujinga wa kudanganya hata siku moja.Usiache Swali Au Point Yyt Bila Kujibu N Bora Udanganye Kuliko Waone Unafany Loading Kiasi cha kulizwa umeishiwa point ehn Kuna wengine wanakaga kwny Panel sio fan Zao sasa ukiacha swali unawapunguzia mzigo then + N Hiyo Confidence yako Kiwang cha juu.
Inangalika na idad ya Nafasi,Ratio ya Nafas kwa idadi yenu kwny Oral na Ufanisi wa wengine uliopo nao kwny oral.
Kwahiyo ajibu vipi?Usije ukafanya ujinga wa kudanganya hata siku moja.
Tupe sasa hizo contact 😂Watu tulio na contact za wakubwa A.K.A system tuhakikishe tunawapatia watanzania
Fanya hivi kama hujui swali hasa katika Oral toa disclaimer kua sijui halafu waambie I can give my thoughts to the specific question. Halafu tiririka hayo unayofikiria.Kwahiyo ajibu vipi?
Sawa sawaFanya hivi kama hujui swali hasa katika Oral to disclaimer kua sijui halafu waambie I can give my thoughts to the specific question. Halafu tiririka hayo unayofikiria.
Hapo nimekupataFanya hivi kama hujui swali hasa katika Oral to disclaimer kua sijui halafu waambie I can give my thoughts to the specific question. Halafu tiririka hayo unayofikiria.
Kutokujua sio dhambi, dhambi ni kudanganya huku ukiwa unajiamini
Muhimu ni usiache kujibu swali toa kile unachofikiria ila wajulishe tu in advance kua these are completely my thoughtsHapo nimekupata