Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sio mimi kiongozi na hata ukifatilia nyuzi zangu mimi ni muajiriwa since July 2015 mdogo wangu anaenifata ndio hata nilimuulizia swali humu kuhusu kuingia oral maana ndio ilikuwaga oral yake ya kwanza na mimi interview nazofanyaga ni za TRA tu maana nimesoma taxation ifm ....na bahati nzuri ajira niliyopataga haikuwa na interview nilipata kama mhudumu wa afya baada ya kuona tax imekuwa ngumu kiajira nilisoma coz ya afya 1 year nikapata kazi moja kwa moja kwenye halmashaur na ikaja shida kwenye kubadilisha kada na ndio maana huwa nafanya interview za tra nikiwa nimepitisha barua kwa mwajiri ....lakini mungu sio athumani nilishauriwa coz ya tax haipo kwenye halmashaur nikashauriwa nisome CPA nikaanzia foundation level na sasa nipo level ya intermediate hivyo nilibadilishiwa cheo kwa kutumia cheti cha foundation kama msaidizi wa hesabu na nikimaliza CPA nitakuwa mhasibu rasmi....karibu halmashaur ya geita....huyo ninaemuuliziaga ni mdogo wangu ni CPA Holder na ninaishi nae kwangu hivyo waliitwa oral moja kwa moja za LGA NA MDA ...Hope nimekujibu kiongozi
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu
 
Usiache Swali Au Point Yyt Bila Kujibu N Bora Udanganye Kuliko Waone Unafany Loading Kiasi cha kulizwa umeishiwa point ehn Kuna wengine wanakaga kwny Panel sio fan Zao sasa ukiacha swali unawapunguzia mzigo then + N Hiyo Confidence yako Kiwang cha juu.
Inangalika na idad ya Nafasi,Ratio ya Nafas kwa idadi yenu kwny Oral na Ufanisi wa wengine uliopo nao kwny oral.
Usije ukafanya ujinga wa kudanganya hata siku moja.
 
Fanya hivi kama hujui swali hasa katika Oral to disclaimer kua sijui halafu waambie I can give my thoughts to the specific question. Halafu tiririka hayo unayofikiria.

Kutokujua sio dhambi, dhambi ni kudanganya huku ukiwa unajiamini
Hapo nimekupata
 
Back
Top Bottom