Hv hawa people wasaka Ajira wanaofanya Usaili wa Oral watu 200+ hv wanamaliza kweli watu wote..
Just emagine Kila mtu atumie dakika 5..
Hapo kimahesabu ni sawa na masaa 16 na dakika kadhaa.. hii si kutwa nzima hii na usiku wake pia..?
Kwa kweli hizi panels zinapaswa zilipwe pesa kubwa sana.. hiyo kazi ni ngumu
Hapo inamake Sense,, kwahyo zile interview panels zinaweza kuwa 3 au 4Wanagawanywa vyumba tofauti unaweza kuta kila chumba wanakua 40
HahahahahaπHili jukwaa inaonekna lina mafaza wengi sana maana kila mtu anasema mdogo wake kafeli π€£π€£π€£
YapHapo inamake Sense,, kwahyo zile interview panels zinaweza kuwa 3 au 4
Panel zinakuwa nyingi paleHv hawa people wasaka Ajira wanaofanya Usaili wa Oral watu 200+ hv wanamaliza kweli watu wote..
Just emagine Kila mtu atumie dakika 5..
Hapo kimahesabu ni sawa na masaa 16 na dakika kadhaa.. hii si kutwa nzima hii na usiku wake pia..?
Kwa kweli hizi panels zinapaswa zilipwe pesa kubwa sana.. hiyo kazi ni ngumu
Asikuambie mtu kusubiria placement ni kazi sana.Maisha magumu sana ya kusubiria placement bora hata ya kufanya interview
ni hatari aseehMaisha magumu sana ya kusubiria placement bora hata ya kufanya interview
Naona utumishi wametusahau Sasa kwenye placement π¬π¬π¬π¬
Walamba asali wanasemaje kuhusu statusni hatari aseeh
Sauti ya per diemSoon watatoa
Inshallah ikawe heriSoon watatoa
ππππHahhhhh tunasema sauti ya mamlakaSauti ya per diem
Wizy na wengine humu lazima mvute mrijaInshallah ikawe heri
ππππJuzi niliulizia status jobless akanifokea sana akasema "this is too much" sasa nikasema huyu jobless akipata kazi siatanipiga huyu?Walamba asali wanasemaje kuhusu status
Oya mwanangu ushachukua barua kakaSoon watatoa
ππππHahhhh Kaka uhakika maneno huwa hayatoki bure tukutane kazini mwezi huuWizy na wengine humu lazima mvute mrija