mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Lazima iwe hivyo, si una uhakika bro.Mimi Sasa hivi hata nguvu ya kuingia ingia humu imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima iwe hivyo, si una uhakika bro.Mimi Sasa hivi hata nguvu ya kuingia ingia humu imeisha
Ndio huwa mnaondoka hivi hivi, mwisho wa siku mtaanza kutusema tujiajiri.[emoji3][emoji3]Mimi Sasa hivi hata nguvu ya kuingia ingia humu imeisha
😂😂😂😂oya nakuja pm sasa naona Jambo liwe serioustulia dogo
😂😂😂😂Hahhhh watakwambia kijana kajiajiriNdio huwa mnaondoka hivi hivi, mwisho wa siku mtaanza kutusema tujiajiri.[emoji3][emoji3]
artisan rough neckHongera san...ulikuw kwenye post gani?
Jobless na mambo ya round wapi na wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona jina lako kwenye pdf unapoa kama mtu aliemaliza round kwenye mechi
Kweli jobless hathaminiki😂😂😂😂😂hata utelezi asipate?Jobless na mambo ya round wapi na wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nilichokifanya huko mungu ndo anajuaHapo issue huwa ni lugha tuu[emoji28][emoji28][emoji28].
Kama cha kuombea maji kinashuka vizuri tu mara nyingi mtu hujiamini. Issue ni pale lugha inapokuwa shida automatically na confidence inapungua.
Hebu tupe maswali yalikuaje acha kulia lia 😂😂😂😂nilichokifanya huko mungu ndo anajua
Mmh me sisemi,wamenikanda oralUlishawahi kuona ngamia kapita kwenye tundu la sindono wewe!!
Bado,nilienda homeKwani Kwimba ushaondoka?
Ungejua kama huu umeanzishwa mwezi wa nane na kilichouliziwa hadi sasa kinasubiriwa, ungekuwa ushapata jibu..Wakuu naulizia je baada ya kufanya Oral inaweza kuchukua muda gani mpaka kuitwa kazini lakini pia kwa uzoefu ikishapita baada ya muda gani basi itakuwa inamaanisha kuwa hata kwenye database haupo? Mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Oral ilikuwaje? ebu tupe vionjo jinsi ulivyopambananiko hapa nakula muda huu
Usijal best hzo nafasi moja ni yako.nilichokifanya huko mungu ndo anajua
Daaah, acha tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh watakwambia kijana kajiajiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kajiwahiHahaha. Kuwa na amani, na huu sasa ndio muda wa kujisogeza tuwe karibu zaidi. Kadiri nitakavyoona inafaa, nitahakikisha unaonekana jina lako kwenye Pdf za placements nyingi zaidi. Hata kwa nafasi ambazo hujaomba kabisa.
NB: Ndugu zangu wa Utumishi najua mnausoma huu ujumbe, ni utani kama sehemu ya kuchangamsha majobless, huku tukisaidiana mambo muhimu wakati wa utafutaji wa ajira.
Msije mkatoa tangazo kwa Umma kukanusha kwamba kuna mtu Jf anaahidi watu ajira bila ya usaili.
Utaambiwa unampaka mtu shombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli jobless hathaminiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata utelezi asipate?
Mimi placement ikitoka nitaangalia tu jina lako jinsi litakavyokuwa la kwanza kwenye pdfMmh me sisemi,wamenikanda oral
😂😂😂😂HahhhhUtaambiwa unampaka mtu shombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake wanapewa priorities sana amini Hilo umepitaMmh me sisemi,wamenikanda oral