makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Mwanamke akishaingia Kwenye Oral tu tayari Ni mshindiWanawake wanapewa priorities sana amini Hilo umepita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke akishaingia Kwenye Oral tu tayari Ni mshindiWanawake wanapewa priorities sana amini Hilo umepita
Ni hatari aseeh wanaume tunapata tabu sana😂Mwanamke akishaingia Kwenye Oral tu tayari Ni mshindi
wape na shikamoo yangu[emoji119]Lile jua mchana na baridi asubuhi la asharose migiro limetugonga kutoka asbh tumekuja kuingia kikaangoni kuanzia saa6, wakandaji wakafanya yao with mention points. Hii kitu inakata pumzi nilikuwa nasikia tu
UTUMISHI SHIKAMOO!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
sitaki hata kukumbuka,ngoja nifanye tu kama niliishia writtenAchana na hyo uliza watu waliofanya TGDC asee wale jamaa hapanaaaa
Artisan rough neck
wape na shikamoo yangu[emoji119]
😂😂😂Kwenye cv siuliandika you can work in any place sasa any place ndo hiyowape na shikamoo yangu[emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nililala kwenye mezaLile eneo la Asha Rose Migiro si rafiki sana ku-accomodate idadi ya watu kama niliyoiona leo. Utumishi wajitahidi kuboresha kidogo, mahali pa watu kukaa na kusubiria hapako vizuri, ukija upande wa kwenye maliwato napo ni changamoto, bado kwenye upande wa mgahawa chakula bei juu lakini ubora wa kawaida..Yaani tabu tupu.. Wajitahidi kuboresha kidogo, ni kweli watu tunasaka ajira lakini isionekana kana kwamba ni adhabu kwetu.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
😂😂😂Tupe maswali yenu basisitaki hata kukumbuka,ngoja nifanye tu kama niliishia written
[emoji2935]yaaniKatika kuokoa muda wa kuwasahili watu ,ndio wanatumia mtindo wa kumention ,lkn point zake Sasa at least 5 points,,[emoji23][emoji23] Halaf Mr.jobless unajikuta unajua point moja moja au mbili mbili Kila swali,, Halaf nyingine ni zakutafuta ,wakiona tu unatafuta sana wanasema next qns
Jobless akiona aelew asusie uzi😂😂😂😂Juzi niliulizia status jobless akanifokea sana akasema "this is too much" sasa nikasema huyu jobless akipata kazi siatanipiga huyu?
anatoa wapi hela jobless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamdhalilisha jobless au sio?
NdioUshabeba barua Mkuu?
😂😂😂😂😂aachane nao au sioJobless akiona aelew asusie uzi
ndioImetoka kwenye oral?
Naona wiki hii inaisha hivi hiviHivi Leo hakuna Placement,,,?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwel kabisaNdio huwa mnaondoka hivi hivi, mwisho wa siku mtaanza kutusema tujiajiri.[emoji3][emoji3]
Pale kitambulisho ni vile vile kama wanavyo Kura,NiDa,Leseni,au barua au sasa hivi wanataka kimoja maalumNdio
niache tu kwakwelHebu tupe maswali yalikuaje acha kulia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]