Nimekandwa ndugu yangu.
Tuendelee kuombeana!
Penginepo utakuja kuwa boss mkubwa hapo baadae
Yeah uko sahihi
Pepa imenikalia tenge mkuu.Umekandwa kivipi Mkuu, imekuwaje tena?
Daah nimeonekana mdebwedo zaidi ya Mandonga, imagine Class mates wangu tuliopiga written juzi Dom, nimeambiwa karibia wote walifika oral, ila mimi nilitoka kapa.
Na leo tena walikuja, tena wameongezeka wengine ambao walikuwa vipanga darasani, hawajaishia hapo wengine washasoma hadi Masters, ila nikawa kumbe kusoma Masters sio tiketi ya kuwa na Connection, mtu una Masters unapambania mshahara wa mwenye degree 1.
Any way hali ya kitaa ndio inayotufikisha huku
Ni sahihi mkuu, hawa vipanga wakishakuwa displaced, nafasi yetu vibonde itawadia.Mkuu, kilichokusudiwa kuwa chako kitakuwa na hakuna wa kukikwepesha, na kisichokusudiwa kisikuumize sana sababu hata iweje hakitakuwa.
Wanasema njia nzuri ya kuitabiri kesho ni kuiandaa, tusiache kujiandaa vya kutosha. Muda wako na nafasi yako ikifika utatoboa tu.
Unauliza umuhimu wa cheti cha kuzaliwa kwenye ukaguzi wa kuingia kwenye written?Wakuu Naomba kuuliza hivi interview za laboratory technician kwa practical ,je kuvaa lab coat ni necessary..??
mkuu nilipiga TA kweny mambo ya Science tu uko kwny kiswahili cjuii mkuu. ila usisahauu kuoma researchKaka juma tano naingia kwenye mchujo (written interview) , tunafanyia DUCE kada Tutorial Assistant kiswahili ISIMU...nipe madini kaka, sijawai fanya mtihani wa tutorial assistant je format inakuwaje manaa utumishi hawaeleweki,
Ni sahihi mkuu, hawa vipanga wakishakuwa displaced, nafasi yetu vibonde itawadia.
Mapambano hayakomi mkuu, tuendelee kupambana.
Hata tukishaingia kwenye mrija wa asali tutaendelea kupambana hivyo hivyo ili kujiweka stable zaidi.
Mkuu ni kujipanga tena, kwa mara ya kwanza ile tarehe 6/9/2022, pale AUDITORIUM, Ilikuja pepa sijawahi ona.Pepa imenikalia tenge mkuu.
Sioni nafasi ya kusonga mbele
Siku hiyo mwenyewe nililetewa maswali kinyume na nilivyotarajia, nikaangukia puaMkuu ni kujipanga tena, kwa mara ya kwanza ile tarehe 6/9/2022, pale AUDITORIUM, Ilikuja pepa sijawahi ona.
Hakuna swali nililokuwa nalijua direct, nilivyosoma(meza) ni tofauti na pepa na unajua utumishi wanataka copy and paste ya majibu, niliaibika.
Aiseh!!! Yalihusu kada yako auSiku hiyo mwenyewe nililetewa maswali kinyume na nilivyotarajia, nikaangukia pua
Jana Duce pia nikakandamizwa.
Tuendelee kupambana!
Kipanga anawaza kuajiriwa utumishi kweli?Ni sahihi mkuu, hawa vipanga wakishakuwa displaced, nafasi yetu vibonde itawadia.
Mapambano hayakomi mkuu, tuendelee kupambana.
Hata tukishaingia kwenye mrija wa asali tutaendelea kupambana hivyo hivyo ili kujiweka stable zaidi.
Ndio, lakini kitu ambacho hujajikumbusha kwa muda mrefu huwezi kuandika point zilizonyooka
Unachosema ni sahihi ingawa wengine wana mitazamo tofauti.Kipanga anawaza kuajiriwa utumishi kweli?
Kuna namna haiko sawa kwenye halmashauri ya kichwa chake huyo,binafsi class mates wangu vipanga waliajiriwa hata tukiwa hatujafanya final UE ya mwaka wa mwisho.wengi wako private sectors huko wanakula madorali ya wazungu tu na wengine waliajiriwa na chuo direct kuwa TA.hakuna class mate wangu kipanga niliyekutana nae utumishi,ninaokutana nao utumishi ni wale average kama mimi tu.
Yeah sure, memory inakuwa kwa Mbali saanaNdio, lakini kitu ambacho hujajikumbusha kwa muda mrefu huwezi kuandika point zilizonyooka
Bosi vipi wewe umepewa namba kwenye account yako auKaka juma tano naingia kwenye mchujo (written interview) , tunafanyia DUCE kada Tutorial Assistant kiswahili ISIMU...nipe madini kaka, sijawai fanya mtihani wa tutorial assistant je format inakuwaje manaa utumishi hawaeleweki,