Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daah nimeonekana mdebwedo zaidi ya Mandonga, imagine Class mates wangu tuliopiga written juzi Dom, nimeambiwa karibia wote walifika oral, ila mimi nilitoka kapa.

Na leo tena walikuja, tena wameongezeka wengine ambao walikuwa vipanga darasani, hawajaishia hapo wengine washasoma hadi Masters, ila nikawa kumbe kusoma Masters sio tiketi ya kuwa na Connection, mtu una Masters unapambania mshahara wa mwenye degree 1.

Any way hali ya kitaa ndio inayotufikisha huku

Mkuu, kilichokusudiwa kuwa chako kitakuwa na hakuna wa kukikwepesha, na kisichokusudiwa kisikuumize sana sababu hata iweje hakitakuwa.

Wanasema njia nzuri ya kuitabiri kesho ni kuiandaa, tusiache kujiandaa vya kutosha. Muda wako na nafasi yako ikifika utatoboa tu.
 
Ni sahihi mkuu, hawa vipanga wakishakuwa displaced, nafasi yetu vibonde itawadia.

Mapambano hayakomi mkuu, tuendelee kupambana.

Hata tukishaingia kwenye mrija wa asali tutaendelea kupambana hivyo hivyo ili kujiweka stable zaidi.
 
Kaka juma tano naingia kwenye mchujo (written interview) , tunafanyia DUCE kada Tutorial Assistant kiswahili ISIMU...nipe madini kaka, sijawai fanya mtihani wa tutorial assistant je format inakuwaje manaa utumishi hawaeleweki,
mkuu nilipiga TA kweny mambo ya Science tu uko kwny kiswahili cjuii mkuu. ila usisahauu kuoma research
ngoja waje wengineee
 
Ni sahihi mkuu, hawa vipanga wakishakuwa displaced, nafasi yetu vibonde itawadia.

Mapambano hayakomi mkuu, tuendelee kupambana.

Hata tukishaingia kwenye mrija wa asali tutaendelea kupambana hivyo hivyo ili kujiweka stable zaidi.

Hahaha, sawa Mkuu.
 
Pepa imenikalia tenge mkuu.

Sioni nafasi ya kusonga mbele
Mkuu ni kujipanga tena, kwa mara ya kwanza ile tarehe 6/9/2022, pale AUDITORIUM, Ilikuja pepa sijawahi ona.

Hakuna swali nililokuwa nalijua direct, nilivyosoma(meza) ni tofauti na pepa na unajua utumishi wanataka copy and paste ya majibu, niliaibika.
 
Siku hiyo mwenyewe nililetewa maswali kinyume na nilivyotarajia, nikaangukia pua

Jana Duce pia nikakandamizwa.

Tuendelee kupambana!
 
Ni sahihi mkuu, hawa vipanga wakishakuwa displaced, nafasi yetu vibonde itawadia.

Mapambano hayakomi mkuu, tuendelee kupambana.

Hata tukishaingia kwenye mrija wa asali tutaendelea kupambana hivyo hivyo ili kujiweka stable zaidi.
Kipanga anawaza kuajiriwa utumishi kweli?
Kuna namna haiko sawa kwenye halmashauri ya kichwa chake huyo,binafsi class mates wangu vipanga waliajiriwa hata tukiwa hatujafanya final UE ya mwaka wa mwisho.wengi wako private sectors huko wanakula madorali ya wazungu tu na wengine waliajiriwa na chuo direct kuwa TA.hakuna class mate wangu kipanga niliyekutana nae utumishi,ninaokutana nao utumishi ni wale average kama mimi tu.
 
Unachosema ni sahihi ingawa wengine wana mitazamo tofauti.

Baadhi ya Vipanga wetu(classmates) wako kwenye mrija(TA Chuoni), huko wameingia kwa usahili kama sababu ya fair play.

Kipanga mwingine yeye aliamua kukomaa na mishe zingine kitaa ingawa zipo kwenye taaluma, hakutaka kwenda kuwa TA kama wengi tulivyokuwa tunamuwazia na uwezo alikuwa nao, akiulizwa kuhusu hilo anasema sio passion yake.

Hawa vipanga wengine waliobaki wanachagua penye hotcake kama ule usahili wa DUCE, kuna nafasi zingine ambazo wengine tuliomba ila wao hawakuomba, walifocus penye hotcake.
 
Kaka juma tano naingia kwenye mchujo (written interview) , tunafanyia DUCE kada Tutorial Assistant kiswahili ISIMU...nipe madini kaka, sijawai fanya mtihani wa tutorial assistant je format inakuwaje manaa utumishi hawaeleweki,
Bosi vipi wewe umepewa namba kwenye account yako au
 
Oya wakuu Hivi haya maswali ya written interviews ujibuji wake ni kama wa class tu au Kuna namna yake ya ujibuji, MFANO ukaulizwa "what are the duties of a Psychiatrist to a patient" au "Distinguish between sociopath and Psychopath" I mean haya maswali ukiulizwa Hivi unashuka nayo kwa essay au ? Au unaenda straight tu na kumalizia kazi.

Imenibidi niulize maana nimefanya written interview yangu ya kwanza, karibia Pepa yote nilikuwa naijuwa na nikajieleza kwa kwenda straight to na maswali yalikuwa katika mfumo huo niliyowaekea hapo ila Sasa matokeo yalivyotoka nimekuwa na performance mbaya sana hata sijategemea.

Wakuu ambao mlitoboaga Pepa za written za explanation vipi nyie mlitoboaje, naomba muongozo wadau nidije kufanya MAKOSA mengine asee.
 
Back
Top Bottom