makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Yaniiii hongera sanaa mkuu hizi stutus zinanipa imani nizidi kuvuta subra hingera kwa mara nyingineWakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu
Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590